News
-
WAKAZI POKOT MAGHARIBI WATAKIWA KUENDELEA KUZINGATIA KANUNI ZA KUKABILI CORONA.
Kaunti ya Pokot magharibi imerekodi jumla visa 338 vya virusi vya corona tangu kuripotiwa nchini janga hilo mwezi machi mwaka jana.Haya ni kwa mujibu wa mkurugenzi wa wizara ya afya […]
-
WAKUU WA SHULE WAONYWA DHIDI YA KUWATUMA NYUMBANI WANAFUNZI.
Baadhi ya viongozi katika kaunti hii ya pokot magharibi wamelalamikia hatua ya baadhi ya shule kuwatuma nyumbani wanafunzi kwa ajili ya karo siku chache tu baada ya wanafunzi kurejea shuleni […]
-
ODM CHAANZA MIKAKATI YA KUJIIMARISHA POKOT MAGHARIBI.
Chama cha ODM kimeanza mikakati ya kuhakikisha kinatwaa viti vingi katika uchaguzi mkuu ujao.Akizungumza baada ya kikao na viongozi wa chama hicho kaunti hii ya Pokot Magharibi kilichoandaliwa katika afisi […]
-
VIONGOZI TRANS NZOIA APINGA SHINIKIZO ZA KUMBANDUA AFISINI MWENYEKITI WA IEBC WAFULA CHEBUKATI.
Baadhi ya viongozi kutoka kaunti ya Trans nzoia wanawakashifu wale wanaoshinikiza kutimuliwa kwa mwenyekiti wa tume ya uchaguzi na uratibu wa mipaka nchini IEBC Wafula Chebukati kwa kile wanadai wanaoshinikiza […]
-
VIJANA TRANS NZOIA WALALAMIKIA UGUMU WA KUPATA VITAMBULISHO.
Wakazi wa mtaa wa khaluengekaunti ya Trans nzoia wamelalamikia ukosefu wa vitabulisho zaidi ya vijana 500 wakikosa stakabadhi hizo muhimu.Wakazi hao wanadai hatua zao kutaka kupewa stakabadhi hizo zimegonga mwamba […]
-
MAAFISA WA EACC WACHUNGUZA MIRADI YA BUNGE LA POKOT MAGHARIBI
Maafisa wa tume ya maadili na kukabili ufisadi EACC kutoka jijini Nairobi wamefika katika majengo ya bunge la kaunti hii ya pokot magharibi kukagua miradi ambayo imetekelezwa na bunge hilo.Maafisa […]
-
WASHUKIWA WA WIZI WA MIFUGO WAKANA KUHUSIKA WIZI.
Siku moja baada ya kushukiwa kupatikana na mali ya wizi eneo la marich kaunti hii ya Pokot magharibi na hata kufikishwa katika mahakama ya Kapenguria kabla ya kuachiliwa kwa bondi […]
-
SERIKALI YATAKIWA KUIMARISHA USALAMA ENEO LA BONDE LA KERIO
Serikali imetakiwa kuchukulia kwa uzito swala la usalama katika bonde la kerio kwani shughuli za elimu zimetatizika pakubwa kutokana na ukosefu wa usalama eneo hilo.Ni wito ambao umetolewa na wadau […]
-
BUNGE LA TRANS NZOIA LAPITISHA MAKDIRIO YA BAJETI YA 2021/2022.
Bunge la kaunti ya Trans nzoia hatimaye limepitisha makadirio ya bajeti ya kima cha shilingi bilioni 8.4 ya mwaka wa kifedha 2021/2022 na kumaliza mvutano wa kutotumia fedha hizo ambao […]
-
MSHUKIWA WA WIZI WA MIFUGO KUFIKISHWA MAHAKAMANI KAPENGURIA.
Mshukiwa mmoja wa wizi wa mifugo anatarajiwa kufikishwa leo katika mahakama ya kapenguria kaunti hii ya pokot magharibi kujibu mashitaka ya kupatikana na mifugo wanaoshukiwa kuwa wa wizi katika gari […]
Top News