RAIS AZINDUA KITUO MAALUM CHA KUWASHUGHULIKIA WAGONJWA WA CORONA

AFUENI KWA WANAOAMBUKIZWA CORONA

Rais Kenyata Leo Hii Anatarajiwa Kuongoza Uzinduzi Wa Kituo Maalum Cha Umoja Wa Mataifa Cha Kuwashughulikia Wathiriwa Wa Janga La Korona Kilicho Uko Nairobi.

Haya Yanajiri Huku Rais Akisema Janga La Corona Limekuwa Lenye Athari Kuu Kwa Taifa.

Hata Hivyo Ametaja Mikakati Mbalimbali Ambayo Serkali Iliweka Kudhibiti Janga La Corona Liliporitiwa Humu Nchini Kwa Mara Ya Kwanza Mwezi Machi Kuwa Ambayo Imesaidia Pakubwa Kunusuru Hali

Miongoni Mwa Mikakati Hiyo Ni Kuwa Na Kipindi Cha Kutokuwa Nje Ilikuzuia Maambukizi Marufuku Ya Usafiri Hadi Kwenye Kaunty Nyingine Iliyowekwa Hapo Awali Marufuku Ya Mikutano Ya Umma Na Kadhalika.