News
-
Watu ‘wala watu’ Pokot magharibi
Na Benson Aswani,Viongozi katika kaunti ya Pokot magharibi wameendelea kushutumu visa vya watoto wenye umri mdogo kutoweka katika njia zisizoeleweka na kisha kupatikana wakiwa wameuliwa. Wakiongozwa na mbunge wa Sigor […]
-
Wadau wa elimu Pokot magharibi wapongeza kuzinduliwa basari na serikali ya kaunti
Na Emmanuel Oyasi,Wadau mbali mbali katika sekta ya elimu kaunti ya Pokot magharibi wamepongeza hatua ya kuzinduliwa basari ya serikali ya kaunti katika hafla ambayo iliandaliwa ijumaa iliyopita katika shule […]
-
Msako wa raia wa kigeni wanaoishi Pokot magharibi bila Kibali waanzishwa
Na Emmanuel Oyasi,Serikali imetangaza msako wa raia wa mataifa ya kigeni ambao wanaishi katika kaunti ya Pokot magharibi bila stakabadhi zinazowaruhusu kuwa hapa nchini. Akizungumza kwa niaba ya kamishina, msaidizi […]
-
Serikali ya Pokot Magharibi yawekeza pakubwa katika sekta ya afya
Na Benson Aswani,Zaidi ya asilimia 30 ya bajeti ya serikali ya kaunti ya Pokot magharibi imeelekezwa kwenye idara ya afya kuhakikisha kwamba kuna dawa za kutosha katika hospitali na vituo […]
-
Wakazi wahimizwa kukumbatia uhifadhi wa mazingira
Na Emmanuel Oyasi,Wakazi wa kaunti ya Pokot magharibi wamehimizwa kuhifadhi mazingira na kujizuia kukata miti kiholela ili kukabili changamoto ambazo zinatokana na mabadiliko ya tabia nchi. Akizungumza wakati wa uzinduzi […]
-
Mwili wa mtoto wapatikana umeoza shambani Bendera
Na Benson Aswani,Idara ya upelelezi DCI imeanzisha uchunguzi baada ya mwili wa mtoto mwenye umri wa miaka saba kupatikana kwenye shamba la mahindi ukiwa umeanza kuoza katika eneo la Bendera […]
-
Viongozi wa Kenya kwanza kaskazini mwa bonde la ufa watetea utawala wa rais Ruto
Na Benson Aswani,Wandani wa rais William Ruto kutoka kaskazini mwa bonde la ufa wamepuuzilia mbali miito ambayo inatolewa ya kumtaka rais Ruto kuondoka mamlakani kwa madai ya kushindwa kuliendesha taifa, […]
-
Komole awashutumu viongozi kwa kuendeleza siasa za mapema Pokot Magharibi
Na Benson Aswani,Naibu gavana kaunti ya Pokot magharibi Robert Komole ameshutumu siasa za mapema ambazo zinaendelezwa na viongozi wa kisiasa katika kaunti hiyo kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2027. Katika […]
-
NEMA yatetea marufuku ya uchimbaji madini Pokot magharibi
Na Benson Aswani,Mamlaka ya mazingira nchini NEMA imetetea hatua ya kusitishwa rasmi shughuli ya uchimbaji madini maeneo mbali mbali ya kaunti ya Pokot magharibi. Katika mahojiano na kituo hiki, mkurugenzi […]
-
Serikali ya Pokot Magharibi yawahakikishia wakazi uzinduzi wa basari mwezi Julai
Na Benson Aswani,Baada ya wakazi wa kaunti ya Pokot magharibi kusubiri kwa muda fedha za basari kutoka kwa serikali ya kaunti, naibu gavana Robert Komole hatimaye amewahakikishia wakazi kwamba serikali […]
Top News