News
-
Serikali ya kitaifa yaipa msaada shule ya msingi ya Nasokol kufuatia mkasa wa moto
Na Benson AswaniShule ya msingi ya Nasokol eneo bunge la Kapenguria katika kaunti ya Pokot magharibi imepokea msaada kutoka kwa serikali kuu kufuatia mkasa wa moto ambao uliteketeza mabweni mawili […]
-
Poghisio awasuta wanasiasa wanaotumia fedha kutafuta uungwaji mkono kwenye uchaguzi
Na Benson AswaniAliyekuwa seneta wa kaunti ya Pokot Magharibi Samwel Poghisio amekemea pakubwa hulka ya viongozi wa kisiasa ambao wanatafuta nafasi za uongozi kwenye uchaguzi kutumia fedha nyingi kuwahonga wananchi […]
-
Poghisio: Kaunti ya Pokot Magharibi inahitaji mabadiliko haraka iwezekanavyo
Na Benson Aswani,Aliyekuwa seneta wa kaunti ya Pokot magharibi Samwel Poghisio ambaye pia ametangaza nia ya kuwania kiti cha ugavana katika uchaguzi mkuu wa mwaka ujao, ameelezea haja ya kuwepo […]
-
Visa vya wizi wa mifugo vyachipuka tena mpakani pa Pokot Magharibi na Turkana
Na Emmanuel Oyasi,Mbunge wa Kacheliba kaunti ya Pokot magharibi Titus Lotee amelalamikia kukithiri utovu wa usalama mpakani pa eneo hilo na kaunti jirani ya Turkana. Akizungumza na kituo hiki, Lotee […]
-
Serikali yaahidi mazingira bora kwa wafanyibiashara Pokot Magharibi
Na Emmanuel Oyasi,Gavana wa kaunti ya Pokot magharibi Simon Kachapin amesisitiza dhamira ya serikali ya kaunti ya kuhakikisha kuna mazingira bora kwa wafanyabiashara kupitia uboreshaji wa miundombinu, sera zinazounga mkono […]
-
Wakulima wa maziwa wanufaika na mitambo ya kuhifadhi maziwa Pokot magharibi
Na Emmanuel Oyasi,Ni afueni kwa makundi ya wakulima wa maziwa katika kaunti ya pokot magharibi baada ya serikali kuu kupitia wizara ya kilimo kusambaza mitambo mitatu ya kuhifadhia maziwa. Mitambo […]
-
Baa la njaa lawakodolea macho wakazi wa pokot kaskazini
Na Benson Aswani,Serikali ya taifa hili na taifa jirani la Uganda zimetakiwa kuanza mikakati ya kuhakikisha wakazi wa maeneo ya Pokot kaskazini kaunti ya Pokot magharibi na Amudat katika taifa […]
-
Poghisio: Lazima tujitenge na chuki za kisiasa na tuwahudumie wananchi
Na Emmanuel Oyasi,Aliyekuwa seneta wa kaunti ya Pokot magharibi dkt Samwel Poghisio ameshutumu vikali hulka ya magavana wanaokuja mamlakani kutelekeza miradi ambayo ilikuwa ikitekelezwa na watangulizi wao. Dkt Poghisio ambaye […]
-
Kachapin awaonya vikali wachimba madini Pokot magharibi
Na Emmanuel Oyasi,Gavana wa kaunti ya Pokot magharibi Simon Kachapin ametoa onyo kwa wawekezaji ambao wanaendeleza uchimbaji wa madini katika kaunti hiyo bila ya kufuata taratibu ambazo zinafaa. Gavana Kachapin […]
-
Wakazi Pokot magharibi waiomba serikali kuwapa pembejeo za kilimo
Na Emmanuel OyasiWito umetolewa kwa serikali ya kaunti ya Pokot magharibi chini ya gavana Simon Kachapin kuendeleza mpango wa kugawa mbegu na mbolea kwa wakazi hasa maeneo ya mashinani ambao […]
Top News










