News
Kachapin atoa hakikisho la huduma za afya kuimarika Pokot magharibi
Na Benson Aswani,Gavana wa kaunti ya Pokot magharibi Simon Kachapin ameendelea kupongeza hatua ya kusitishwa mgomo wa wauguzi katika kaunti hiyo baada ya chama cha maafisa hao kuandaa mazungumzo na serikali ya kaunti. Akizungumza baada ya kupokea dawa za kima ...
Idara ya usalama Pokot magharibi yakemea mauaji ya raia eneo la Ramos
Na Benson Aswani,Idara ya usalama katika kaunti ya Pokot magharibi inaendeleza mikakati ya kuhakikisha kwamba visa vya uvamizi ambavyo vimechipuka upya hasa katika mpaka wa kaunti hiyo na kaunti jirani ya Turkana vinakabiliwa. Kamishina wa kaunti hiyo David Saruni alisema ...
Mgomo wa wauguzi wasitishwa Pokot magharibi
Na Benson Aswani,Huduma za matibabu zinatarajiwa kurejelewa rasmi katika kaunti ya Pokot magharibi baada ya kuysitsihwa rasmi mgomo wa wauguzi ambao umekuwa ukiendelea kwa wiki ya sita sasa. Gavana wa kaunti hiyo Simon Kachapin alifanya kikao jumatatu tarehe 8 mwezi ...
Kachapin aahidi kuimarisha hali ya Pokot Magharibi kabla ya kuondoka afisini
Na Benson Aswani,Gavana wa kaunti ya Pokot Magharibi simon kachapin amesema serikali yake inawekeza katika ujenzi wa taasisi za elimu pamoja na miundombinu ili kufungua zaidi kaunti hiyo kwa wakenya na kuboresha taswira ya eneo hilo. Kulingana na gavana kachapin ...
Serikali ya Pokot magharibi yaendesha vikao vya kukusanya maoni kuhusu bajeti
Na Benson Aswani,Maswala ya elimu na afya yalipewa kipau mbele katika shughuli ya kuwahusisha wananchi kutoa maoni yao kuhusu maswala ambayo yanapasa kupewa kipau mbele wakati wa kuunda bajeti ya mwaka 2027/2028 kaunti ya Pokot magharibi. Wakizungumza katika shughuli hiyo ...
