News
Wakulima wa maziwa wanufaika na mitambo ya kuhifadhi maziwa Pokot magharibi
Na Emmanuel Oyasi,Ni afueni kwa makundi ya wakulima wa maziwa katika kaunti ya pokot magharibi baada ya serikali kuu kupitia wizara ya kilimo kusambaza mitambo mitatu ya kuhifadhia maziwa. Mitambo hiyo inatarajiwa kusaidia kupunguza hasara inayotokana na maziwa kuharibika baada ...
Baa la njaa lawakodolea macho wakazi wa pokot kaskazini
0-4480x2038-0-0# Na Benson Aswani,Serikali ya taifa hili na taifa jirani la Uganda zimetakiwa kuanza mikakati ya kuhakikisha wakazi wa maeneo ya Pokot kaskazini kaunti ya Pokot magharibi na Amudat katika taifa jirani la Uganda wanapata chakula cha msaada mwaka ujao ...
Poghisio: Lazima tujitenge na chuki za kisiasa na tuwahudumie wananchi
Na Emmanuel Oyasi,Aliyekuwa seneta wa kaunti ya Pokot magharibi dkt Samwel Poghisio ameshutumu vikali hulka ya magavana wanaokuja mamlakani kutelekeza miradi ambayo ilikuwa ikitekelezwa na watangulizi wao. Dkt Poghisio ambaye ametangaza nia ya kuwania ugavana wa kaunti hiyo kwenye uchaguzi ...
Kachapin awaonya vikali wachimba madini Pokot magharibi
Na Emmanuel Oyasi,Gavana wa kaunti ya Pokot magharibi Simon Kachapin ametoa onyo kwa wawekezaji ambao wanaendeleza uchimbaji wa madini katika kaunti hiyo bila ya kufuata taratibu ambazo zinafaa. Gavana Kachapin alisema raslimali za kaunti hiyo zimeharibiwa pakubwa na wawekezaji aliodai ...
Wakazi Pokot magharibi waiomba serikali kuwapa pembejeo za kilimo
Na Emmanuel OyasiWito umetolewa kwa serikali ya kaunti ya Pokot magharibi chini ya gavana Simon Kachapin kuendeleza mpango wa kugawa mbegu na mbolea kwa wakazi hasa maeneo ya mashinani ambao hawana uwezo wa kununua pembejeo hizo hasa msimu huu wa ...
