Latest in sports

Yanga ndio mabingwa wa ligi kuu nchini Tanzania wa mwaka 2024/2025

NA PRESENTER WAKOLI Ligi kuu ya Tanzania bara msimu wa 2024/25 imehitimishwa kwa namna isiyo ya kawaida. Yanga SC, klabu yenye historia kubwa na ushawishi mpana katika soka la Tanzania, imetwaa ubingwa wake wa nne mfululizo na wa 31 kwa ...

Hazina ya michezo inafaa kufadhili michezo pekee; Mvuria

Salim Mvuria waziri wa michezo na maswala ya vijana kenya, Picha/Maktaba Na Emmanuel Oyasi,Serikali imeanza kuchukua hatua za kulinda mfuko wa michezo, sanaa na maendeleo ya jamii wito ukitolewa wa kufanyiwa marekebisho ya sheria ili kuhakikisha kwamba mfuko huo unatumika ...

Kocha wa St Anthony Kitale Mayoyo amewaonya wapinzani kutarajia kivumbi mwaka huu

Peter Mayoyo {katika} katika hafla moja ya mashindano moja mwaka uliopita, Picha/Maktaba Na Emmanuel Oyasi, KOCHA Mkuu wa timu ya soka ya shule ya upili ya St. Anthony Kitale katika kaunti ya Trans nzoia Peter Mayoyo amewaonya wapinzani kutarajia kivumbi ...

Ni sisi wenyewe tunaolemaza soka ya humu nchini; Kachapin

Simon Kachapin Gavana wa kaunti ya pokot magharibi, Picha/Maktaba Na Emmanuel Oyasi,Mwenyekiti wa kamati ya michezo katika baraza la magavana Simon Kachapin amesema mchezo wa kandanda hapa nchini haujafikia viwango vya kuridhisha ikilinganishwa na mataifa mengine barani Afrika kutokana na ...

Kiungo wa zamani wa Harambee Stars, Victor Wanyama, amesajiliwa na klabu ya Daraja la Pili Scotland

Victor Mugubi Wanyama akiwa Dunfermline, Picha/Maktaba Na Presenter wakoli Kiungo wa zamani wa Harambee Stars, Victor Mugubi Wanyama, amesajiliwa na klabu ya Daraja la Pili Scotland, Dunfermline Athletic FC, kwa mkataba wa muda mfupi hadi mwishoni mwa msimu huu, akisubiri ...

Loading...