News

SERIKALI YATAKIWA KUONGEZA MGAO KWA MAENEO BUNGE ILI KUFANIKISHA MIRADI KATIKA SEKTA YA ELIMU.

Baadhi ya wabunge katika kaunti ya Pokot magharibi wameitaka serikali kuu kupitia wizara ya elimu kuongeza fedha ambazo zinatengewa maeneo bunge kufanikisha miradi kwenye shule mbali mbali. Wakiongoizwa na mbunge wa sigor Peter Lochakapong na mwezake wa Kapenguria Samwel Morot ...
Continue reading

WATOTO WAWILI WAUAWA HUKU ZAIDI YA MIFUGO 100 WAKIIBWA KATIKA UVAMIZI WA HIVI PUNDE TURKWEL.

Viongozi katika kaunti ya Pokot magharibi wamekashifu vikali uvamizi uliotekelezwa na wahalifu wanaoaminika kutoka kaunti jirani katika kijiji cha Kamurio eneo la Turkwel ambapo waliiba zaidi ya mifugo 100 huku watoto wawili wakiuliwa na wavamizi hao. Wakiongozwa na mwakilishi wadi ...
Continue reading

TAMADUNI ZATAJWA KUWA KICHOCHEO CHA MIMBA ZA MAPEMA MIONGONI MWA WATOTO POKOT MAGHARIBI.

Mimba za mapema miongoni mwa watoto katika kaunti ya Pokot magharibi zinachangiwa na hali kwamba jamii haijakumbatia swala la kuzungumzia wazi maswala ya ngono kwa watoto kutokana na hali inayotajwa kuchangiwa na tamaduni mbali mbali. Haya ni kulingana na afisa ...
Continue reading

WAZAZI WATAKIWA KUKUMBATIA ELIMU KWA WANAO KAMA NJIA MOJA YA KUKABILI WIZI WA MIFUGO.

Wito umetolewa kwa wazazi katika kaunti ya Pokot magharibi kuchukulia kwa uzito swala la kuhakikisha kwamba watoto wao wanapata elimu kama njia moja ya kukabili tatizo la utovu wa usalama ambao unasababishwa pakubwa na wizi wa mifugo. Akizungumza katika kikao ...
Continue reading

SERIKALI YAENDELEA KULAUMIWA KUFUATIA KUKITHIRI UTOVU WA USALAMA MPAKANI PA POKOT MAGHARIBI NA TURKANA.

Wakazi wa kaunti ya Pokot magharibi wameendeleza shutuma dhidi ya mauaji ya mvulana mmoja mwenye umri wa miaka 18 katika kijiji cha Ompolion wadi ya Kasei wakati alipokuwa akilisha mifugo. Wakazi hao wameisuta serikali kwa kutokuwa makini na kushughulikia swala ...
Continue reading

Loading...

[wp_radio_player]