Tag: West Pokot
-
Poghisio ahimiza maandalizi ya kutosha kuhusu mvua za El Nino
Na Benson Aswani,Aliyekuwa seneta wa kaunti ya Pokot magharibi Samwel Poghisio ameihimiza serikali ya kaunti kujiandaa vilivyo kwa ajili ya mvua za elnino ambazo zinatarajiwa kuanza mwezi Octoba kulingana na […]
-
Gavana Kachapin awafokea wanasiasa wanaoingilia utendakazi wa serikali yake
Na Emmanuel Oyasi,Gavana wa kaunti ya Pokot magharibi Simon Kachapin amewataka wanasiasa kuendeleza shughuli zao za kisiasa kwa uadilifu na kutoingilia utendakazi wa maafisa wa umma. Akizungumza katika hafla moja […]
-
Kachapin atoa hakikisho la huduma za afya kuimarika Pokot magharibi
Na Benson Aswani,Gavana wa kaunti ya Pokot magharibi Simon Kachapin ameendelea kupongeza hatua ya kusitishwa mgomo wa wauguzi katika kaunti hiyo baada ya chama cha maafisa hao kuandaa mazungumzo na […]
-
Idara ya usalama Pokot magharibi yakemea mauaji ya raia eneo la Ramos
Na Benson Aswani,Idara ya usalama katika kaunti ya Pokot magharibi inaendeleza mikakati ya kuhakikisha kwamba visa vya uvamizi ambavyo vimechipuka upya hasa katika mpaka wa kaunti hiyo na kaunti jirani […]
-
Mgomo wa wauguzi wasitishwa Pokot magharibi
Na Benson Aswani,Huduma za matibabu zinatarajiwa kurejelewa rasmi katika kaunti ya Pokot magharibi baada ya kuysitsihwa rasmi mgomo wa wauguzi ambao umekuwa ukiendelea kwa wiki ya sita sasa. Gavana wa […]
Top News









