MAONI YA WAKENYA KUHUSU HOTUBA YAKE RAIS BUNGENI WIKI ILIYOPITA

POKOT MAGHARIBI

Hotuba Ya Rais Uhuru Kenyata Wiki Ya Jana Bungeni Imeendelea Kuibua Mijadala Mikali Miongoni Mwa Wakenya Huku Baadhi Wakisema Hawakuridhishwa Na Jinsi Alivyoangazia Maswala Yanayohusu Mwananchi Wa Kawaida Ikiwamo Uchumi.

Aidha Hatua Ya Kinara Wa ODM Raila Odinga Kufungia Nje Mapendekezo Mapya Katika BBI Na Kusema Mwanya Uliopo Ni Wa Kuhariri Tu Mapendekezo Yaliyopo Imeendelea Kuchochea Gumzo Mitaani Wengi Wakijiuliza Iwapo Kweli BBI Itamaliza Uhasama Wa Kisiasa Au La…

Jingine Ni Kuhusu Hatua Ya Waziri Wa Afya Mutahi Kagwe Ambaye  Si Mwanasayansi Kutilia Shaka Ubora Wa Chanjo Ya Covid 19 Ya Kampuni Ya Faiza Biontech.

Lakini Je Wakenya Wa Kaunty Ya Pokot Magharibi Wanamaoni Yapi Kuhusu Msimamo Wa Kagwe Wakati Huu Ambapo Serkali Inajiandaa Kufungua Rasimi Taasis Zote Za Elimu Mwaka Ujao Licha Ya Maambukizi Kuendelea Kuongezeka

Na Je Oparesheni Ya Polisi Kuwanasa Wanaokiuka Masharti Ya Kudhibiti Korona Imezaa Matunda?