Tag: West Pokot
-
Kachapin aahidi kuimarisha hali ya Pokot Magharibi kabla ya kuondoka afisini
Na Benson Aswani,Gavana wa kaunti ya Pokot Magharibi simon kachapin amesema serikali yake inawekeza katika ujenzi wa taasisi za elimu pamoja na miundombinu ili kufungua zaidi kaunti hiyo kwa wakenya […]
-
Serikali ya Pokot magharibi yaendesha vikao vya kukusanya maoni kuhusu bajeti
Na Benson Aswani,Maswala ya elimu na afya yalipewa kipau mbele katika shughuli ya kuwahusisha wananchi kutoa maoni yao kuhusu maswala ambayo yanapasa kupewa kipau mbele wakati wa kuunda bajeti ya […]
-
Poghisio awasuta wanaopinga ujenzi wa chuo kikuu cha Kapenguria
Na Benson Aswani,Aliyekuwa seneta wa kaunti ya Pokot magharibi Samwel Poghisio ameunga mkono kuanzishwa kwa chuo kikuu katika kaunti hiyo hatua anayosema itachangia pakubwa maendeleo ya kaunti. Poghisio ambaye ametangaza […]
-
Shilingi bilioni 1.16 zatengwa kukamilishwa mradi wa maji wa Siyoi-Muruny
Na Benson Aswani,Waziri wa maji Erick Muuga ameahidi kuharakishwa mradi wa maji wa Siyoi-Murunyi ili kutatua changamoto ya uhaba wa maji kwa wakazi wa kaunti ya Pokot magharibi ambao wamesubiri […]
-
Kachapin awataka wahudumu wa afya kurejea kazini
Na Benson Aswani, Gavana wa kaunti ya Pokot magharibi Simon Kachapin ametoa wito kwa wahudumu wa afya ambao wanaendeleza mgomo wao kuyapa nafasi mazungumzo ili kupata suluhu ya jinsi ya […]
Top News









