Tag: West Pokot
-
Poghisio: Kaunti ya Pokot Magharibi inahitaji mabadiliko haraka iwezekanavyo
Na Benson Aswani,Aliyekuwa seneta wa kaunti ya Pokot magharibi Samwel Poghisio ambaye pia ametangaza nia ya kuwania kiti cha ugavana katika uchaguzi mkuu wa mwaka ujao, ameelezea haja ya kuwepo […]
-
Visa vya wizi wa mifugo vyachipuka tena mpakani pa Pokot Magharibi na Turkana
Na Emmanuel Oyasi,Mbunge wa Kacheliba kaunti ya Pokot magharibi Titus Lotee amelalamikia kukithiri utovu wa usalama mpakani pa eneo hilo na kaunti jirani ya Turkana. Akizungumza na kituo hiki, Lotee […]
-
Serikali yaahidi mazingira bora kwa wafanyibiashara Pokot Magharibi
Na Emmanuel Oyasi,Gavana wa kaunti ya Pokot magharibi Simon Kachapin amesisitiza dhamira ya serikali ya kaunti ya kuhakikisha kuna mazingira bora kwa wafanyabiashara kupitia uboreshaji wa miundombinu, sera zinazounga mkono […]
-
Wakulima wa maziwa wanufaika na mitambo ya kuhifadhi maziwa Pokot magharibi
Na Emmanuel Oyasi,Ni afueni kwa makundi ya wakulima wa maziwa katika kaunti ya pokot magharibi baada ya serikali kuu kupitia wizara ya kilimo kusambaza mitambo mitatu ya kuhifadhia maziwa. Mitambo […]
Top News










