Tag: West Pokot
-
Poghisio awasuta wanasiasa wanaotumia fedha kutafuta uungwaji mkono kwenye uchaguzi
Na Benson AswaniAliyekuwa seneta wa kaunti ya Pokot Magharibi Samwel Poghisio amekemea pakubwa hulka ya viongozi wa kisiasa ambao wanatafuta nafasi za uongozi kwenye uchaguzi kutumia fedha nyingi kuwahonga wananchi […]
-
Poghisio: Kaunti ya Pokot Magharibi inahitaji mabadiliko haraka iwezekanavyo
Na Benson Aswani,Aliyekuwa seneta wa kaunti ya Pokot magharibi Samwel Poghisio ambaye pia ametangaza nia ya kuwania kiti cha ugavana katika uchaguzi mkuu wa mwaka ujao, ameelezea haja ya kuwepo […]
-
Visa vya wizi wa mifugo vyachipuka tena mpakani pa Pokot Magharibi na Turkana
Na Emmanuel Oyasi,Mbunge wa Kacheliba kaunti ya Pokot magharibi Titus Lotee amelalamikia kukithiri utovu wa usalama mpakani pa eneo hilo na kaunti jirani ya Turkana. Akizungumza na kituo hiki, Lotee […]
-
Serikali yaahidi mazingira bora kwa wafanyibiashara Pokot Magharibi
Na Emmanuel Oyasi,Gavana wa kaunti ya Pokot magharibi Simon Kachapin amesisitiza dhamira ya serikali ya kaunti ya kuhakikisha kuna mazingira bora kwa wafanyabiashara kupitia uboreshaji wa miundombinu, sera zinazounga mkono […]
Top News










