News
-
KACHAPIN ADAI VYAMA VINATUMIKA KUPORA MALI YA UMMA.
Na Benson Aswani Aliyekuwa gavana wa kaunti hii ya Pokot magharibi Simon Kachapin amekosoa vikali hatua ya kubuniwa vyama vingi nchini anavyovitaja kuwa vya kikabila.Akirejelea chama kipya cha KUP kilichizinduliwa […]
-
IDADI YA WANAFUNZI WANAOHUDHURIA MASOMO YAPUNGUA CHERANG’AN POKOT MAGHARIBI.
Na Dismas Terer. Idadi ya wanafunzi wanaohudhuria masomo hasa katika shule za msingi eneo la cherang’an katika wadi ya Kodich kaunti hii ya Pokot magharibi imepungua pakubwa kutokana na kukithiri […]
-
UNYANYAPAA WATAJWA KUWA KIZINGITI CHA HAKI KWA WAATHIRIWA WA HIV WALIODHULUMIWA KINGONO.
Wataalam wa afya, maafisa wa polisi pamoja na wale wa idara ya mahakama wametaja unyanyapaa na ubaguzi wa watu walioambukizwa virusi vya HIV kuwa kizingiti kikuu cha kupata haki kwa […]
-
OKA YATAKIWA KUTENGENEZA MUUNGANO NA RAILA ODINGA.
Na Benson AswaniSeneta wa kaunti hii ya Pokot magharibi Samwel Poghisio ametoa wito kwa viongozi wa muungano wa one Kenya alliance OKA kusalia pamoja uchaguzi mkuu wa mwaka ujao ukiendelea […]
-
USAJILI WA MAKURUTU WA KDF WAINGIA LEO SIKU YA PILI.
Na Benson AswaniUsajili wa makurutu wa jeshi la Kenya KDF umeingia leo siku ya pili vijana waliotimiza mahitaji katika kaunti 21 wakidaiwa kujitokeza katika vituo mbali mbali ili kutathminiwa.Kulingana na […]
-
RAIS ATAKIWA KUANGAZIA UPYA BEI YA ZAO LA MAHINDI.
Na Benson AswaniMbunge wa Endebess Dkt Robert Pukose amelalamikia bei duni ya zao la mahindi katika kanda ya Northrift akimtaka Rais Uhuru Kenyatta kungilia kati na kuhakikisha wakulima wanapoendelea na […]
-
WAGONJWA WA KISUKARI TRANS NZOIA WATAKIWA KUJITOKEZA KUPATA MATIBABU.
Na Benson AswaniKaunti ya Trans nzoia imerekodi idadi ya watu alfu nne wanaougua ugonjwa kisukari huku wito ukitolewa Kwa wakazi wanaougua ugonjwa huo kutembelea vituo vya afya ili kupata matibabu.Kwa […]
-
VIONGOZI POKOT MAGHARIBI WAPUUZA KUZINDULIWA CHAMA CHA KUP.
Na Benson AswaniViongozi mbali mbali katika kaunti hii ya Pokot magharibi wameendelea kupuuza hatua ya kuzinduliwa chama kipya katika kaunti hii.Wa hivi punde kutolea hisia hatua hiyo ni seneta wa […]
-
KACHAPIN AKOSOA HATUA YA WATUMISHI WA UMMA KUJIHUSISHA NA SIASA.
Na Benson AswaniAliyekuwa gavana wa kaunti hii ya Pokot magharibi Simon Kachapin ametofautiana na misimamo ya baadhi ya maafisa serikalini ambao tayari wametangaza misimamo yao ya kisiasa katika uchaguzi mkuu […]
-
VIONGOZI WAKOSOA KUVURUGWA MIKUTANO YA RUTO.
Na Benson AswaniViongozi wa kisiasa nchini wanazidi kutoa hisia zao kutokana na kuvurugwa mikutano ya naibu rais William Ruto katika baadhi ya maeneo ambako amezuru nchini kisa cha hivi punde […]
Top News









