News
-
WADAU WATAKIWA KUSHIRIKIANA KUKABILI MIMBA ZA MAPEMA MIONGONI MWA WATOTO WA KIKE.
Na Benson AswaniIpo haja ya ushirikiano baina ya Wazazi, Serikali , walimu pamoja na wahisani katika kukabili swala la wasichana wadogo kupachikwa mimba za mapema jambo ambalo limechangia kuongezeka kwa […]
-
WAKAAZI WA ORWO POKOT MAGHARIBI WANUFAIKA NA MRADI WA UNYUNYUZIAJI MAJI MASHAMBA
Na Dismas TererSerikali imeendelea kuweka mikakati ya kuhakikisha kuwa wakenya hasa kutoka maeneo kame hawahangaiki kutokana na makali ya njaa ambayo yanachangiwa pakubwa na ukame katika maeneo haya,Akizungumza katika uzinduzi […]
-
WAZAZI KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI WAHIMIZWA KUTOWAFICHA WATOTO WALEMAVU
Na Dismas TererWito umetolewa kwa wazazi walio na watoto wanaoishi na ulemavu kutowaficha watoto hao na badala yake kuwatoa ili waweze kupokea msaada unaostahili kielimu.Akizungumza baada ya kuzinduliwa rasmi bweni […]
-
KASISI AMSHAMBULIA MWANAFUZNI KUHUSU MZOZO WA ARDHI TRANS NZOIA
Na Benson AswaniWazazi na walimu kutoka shule ya msingi kese wadi ya keiyo eneo bunge la kwanza katika kaunti ya Trans nzoia wamelaani vikali kisa ambapo kasisi wa kanisa moja […]
-
GAVANA kHAEMBA ALALAMIKIA KUCHELEWESHWA FEDHA ZA KAUNTI
Na Benson AswaniGavana wa kaunti ya Transn zoia Patrick khaemba ameilaumu serkali ya kitaifa kwa kuchelewesha fedha zinazostahili kutolewa kwa serkali za kaunti swala analosema limelemaza kukamilishwa kwa miradi ya […]
-
WAZAZI WATAKIWA KUZINGATIA ELIMU YA MTOTO WAKIKE POKOT MAGHARIBI.
Na Benson AswaniWazazi katika kaunti hii ya Pokot magharibi wametakiwa kuzingatia umuhimu wa wanao hasa wa kike na kujitenga na hulka ya kuwalazimishia ndoa za mapema na badala yake kuwapa […]
-
MIITO YA SIASA ZA AMANI YAENDELEA KUTOLEWA NA VIONGOZI WA KIDINI.
Na Benson AswaniViongozi wa kidini katika kaunti hii ya Pokot magharibi wametoa wito kwa wanasiasa nchini kuendeleza siasa za amani wakati huu ambapo taifa linajiandaa kwa ajili ya uchaguzi mkuu […]
-
WAKULIMA TRANS NZOIA WAPONGEZA UTEUZI WA MKURUGENZI MPYA WA KAMPUNI YA KENYA SEED.
Na Benson AswaniWakulima kutoka Kaunti ya Trans Nzoia wamepongeza uteuzi wa mkurugenzi mkuu wa Kampuni ya mbegu nchini Kenya Seed Fred Oloibei uteuzi uliofanyika juma lililopita na waziri wa kilimo […]
-
SERIKALI YA TRANS NZOIA YAANZISHA MPANGO WA KUWACHANJA WATOTO.
Na Benson AswaniZaidi ya 80% ya watoto katika Kaunti ya Trans-Nzoia walikosa kupokea chanjo zao za mwaka wa 2020 kutokana na kuzuka kwa janga la Covid 19 miongoni mwa vigezo […]
-
SERIKALI YA POKOT MAGHARIBI YAAPA KUIMARISHA ZAIDI KILIMO CHA MIFUGO.
Na Moses Ruto Serikali ya kaunti hii ya Pokot magharibi imejitolea kuhakikisha kuwa inaimarisha kilimo hasa cha ufugaji ikiwa ndio tegemeo kubwa kwa wakazi wengi wa kaunti hii kuhakikisha kila […]
Top News










