News
-
LONYANGAPUO ATAKA KUTUPILIWA MBALI SERA YA UHAMISHO WA WALIMU POKOT MAGHARIBI.
Na Benson AswaniGavana wa kaunti hii ya Pokot magharibi John Lonyangapuo ametaka sera ya uhamisho wa walimu kutoka kaunti hii ya pokot magharibi hadi maeneo mengine ya nchi kutupiliwa mbali.Akizungumza […]
-
RAILA AAHIDI KUIMARISHA HALI POKOT MAGHARIBI AKICHAGULIWA RAIS.
Na Benson AswaniKinara wa chama cha ODM Raila Odinga amewahakikishia wakazi wa kaunti hii ya Pokot magharibi kuwa atashughulikia maswala yote ambayo yanawakumba iwapo atachaguliwa kuongoza taifa katika uchaguzi mkuu […]
-
POGHISIO APUUZILIA MBALI HATUA YA KUP KUJIUNGA NA ODM.
Na Benson AswaniSeneta wa kaunti hii ya Pokot magharibi Samwel Poghisio amepuuzilia mbali hatua ya chama cha KUP kutangaza kujiunga na chama cha ODM wakati wa ziara ya azimio la […]
-
RAILA ATUA POKOT MAGHARIBI KATIKA KAMPENI YA AZIMIO LA UMOJA.
Na Benson AswaniKinara wa chama cha ODM Raila Odinga yuko katika kaunti hii ya Pokot magharibi katika misururu ya kampeni yake ya azimio la umoja.Raila ameanza ziara yake kwa kukutana […]
-
POGHISIO ASHUTUMU MADAI YA MAAFISA WA USALAMA KUSHIRIKIANA NA WAHALIFU.
Na Benson AswaniSeneta wa kaunti hii ya Pokot magharibi Samwel Poghisio ameshutumu vikali madai ya maafisa wa usalama ambao wamepewa jukumu la kuhakikisha usalama wa taifa kushirikiana na washukiwa wa […]
-
POLISI KANYARKWAT POKOT MAGHARIBI WALAUMIWA KWA KUWAHANGAISHA WENYEJI.
Na Benson AswaniPolisi eneo la Kanyarkwat katika kaunti hii ya Pokot magharibi wamelaumiwa pakubwa kwa kuwahangaisha wakazi wa maeneo hayo hasa nyakati za usiku.Mbunge wa Kapenguria Samwel Moroto amesema kuwa […]
-
WADAU WATAKIWA KUSHIRIKIANA KUKABILI MIMBA ZA MAPEMA MIONGONI MWA WATOTO WA KIKE.
Na Benson AswaniIpo haja ya ushirikiano baina ya Wazazi, Serikali , walimu pamoja na wahisani katika kukabili swala la wasichana wadogo kupachikwa mimba za mapema jambo ambalo limechangia kuongezeka kwa […]
-
WAKAAZI WA ORWO POKOT MAGHARIBI WANUFAIKA NA MRADI WA UNYUNYUZIAJI MAJI MASHAMBA
Na Dismas TererSerikali imeendelea kuweka mikakati ya kuhakikisha kuwa wakenya hasa kutoka maeneo kame hawahangaiki kutokana na makali ya njaa ambayo yanachangiwa pakubwa na ukame katika maeneo haya,Akizungumza katika uzinduzi […]
-
WAZAZI KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI WAHIMIZWA KUTOWAFICHA WATOTO WALEMAVU
Na Dismas TererWito umetolewa kwa wazazi walio na watoto wanaoishi na ulemavu kutowaficha watoto hao na badala yake kuwatoa ili waweze kupokea msaada unaostahili kielimu.Akizungumza baada ya kuzinduliwa rasmi bweni […]
-
KASISI AMSHAMBULIA MWANAFUZNI KUHUSU MZOZO WA ARDHI TRANS NZOIA
Na Benson AswaniWazazi na walimu kutoka shule ya msingi kese wadi ya keiyo eneo bunge la kwanza katika kaunti ya Trans nzoia wamelaani vikali kisa ambapo kasisi wa kanisa moja […]
Top News










