GAVANA kHAEMBA ALALAMIKIA KUCHELEWESHWA FEDHA ZA KAUNTI

Na Benson Aswani
Gavana wa kaunti ya Transn zoia Patrick khaemba ameilaumu serkali ya kitaifa kwa kuchelewesha fedha zinazostahili kutolewa kwa serkali za kaunti swala analosema limelemaza kukamilishwa kwa miradi ya kaunti.
Khaemba ameulaumu jinsi fedha kutoka serkali ya kitaifa hucheleweshwa kufika kwenye serkali za kaunti na hivyo kulemaza utendakazi wa serkali husika.
Akizungumza alipotembelewa na afisa kutoka afisi ya kudhibiti bajeti nchini dkt magret nyakango katika ziara ya hospitali ya rufa ambayo bado inajengwa pamoja na kituo cha kibiashara khaemba vilevile ametaka mishahara ya wafanyikazi wa serkali kaunti kulipa kwa wakati katika juhudi za kuwapa motisha