News
-
WAKAZI WATAKIWA KUHAKIKISHA WANAO WANAPATA CHANJO TRANS NZOIA.
Na Benson AswaniWito umeendelea kutolewa kwa umma kuwapeleka wanao kupata chanjo katika Hospitali zote za Umma Kaunti ya Trans-Nzoia kwani imebanika idadi ndogo ya wazazi wanajitokeza kuwapeleka wanao kupata chanjo […]
-
WAFANYIBIASHARA WALALAMIKIA UCHAFU KATIKA SOKO LA KONGELAI.
Na Benson AswaniWafanyibiashara katika soko la Kongelai katika kaunti hii ya Pokot magharibi wamelalamikia uchafu katika soko hilo hali wanayodai huenda imesababishwa na mishahara duni wanayolipwa wanaoendeleza usafi katika soko […]
-
BAADHI YA VITUO VYA POLISI KUHAMISHWA TIATI, BARINGO.
Na Benson AswaniSerikali itahamisha baadhi ya vituo vya polisi katika eneo bunge la Tiati kaunti ya Baringo kama mojawapo ya hatua za kukabiliana na visa vya uhalifu eneo hilo.Mshirikishi wa […]
-
WAFANYIBISHARA BUNGOMA WALALAMIKIA KUTOPATA FEDHA ZILIZOTOLEWA NA NAIBU RAIS.
Na Benson AswaniViongozi wa wafanyibiashara katika soko la Chepkube mjini Bungoma wanadai maisha yao yamo hatarini baada ya wenzao kuwashuku kuwa huenda wanafahamu zilipo pesa ambazo naibu rais William Ruto […]
-
WAKAZI WA KABUCHAI WATAKIWA KUTUNZA MIRADI.
Na Benson AswaniWito umetolewa kwa wakazi wa Mukuyuni eneo bunge la Kabuchai kaunti ya Bungoma kutunza vyema miradi ya serikali ambayo inafadhiliwa kupitia ushuru wao ili kuondolea serikali gharama ya […]
-
WAKAZI POKOT MAGHARIBI WATAKIWA KUWA MAKINI NA VYAMA WANAVYOUNGA MKONO.
Na Benson AswaniBaadhi ya viongozi katika kaunti hii ya Pokot magharibi wameendelea kusisitiza haja ya wakazi wa kaunti hii kuunga mkono vyama vya kitaifa ambavyo vitahakikisha wanakuwa serikalini na pia […]
-
WANAHARAKATI POKOT MAGHARIBI WAPINGA MAFUNZO KWA WALIMU KUHUSU CORONA.
Na Benson AswaniShughuli ya kuwafunza baadhi ya walimu kutoka shule mbali mbali kuhusu jinsi ya kukabiliana na visa vya maambukizi ya corona shuleni iwapo vitaripotiwa, inayoongozwa na shirika la CY […]
-
WAKULIMA TRANS NZOIA WATAKIWA KUKUMBATIA MPANGO WA WAREHOUSE RECEIPT SYSTEM.
Na Benson AswaniWito umetolewa kwa wakulima Kaunti ya Trans Nzoia Kukumbatia Mpango wa serikali wa kuhifadhi nafaka katika maghala bodi ya nafaka na mazao nchini NCPB chini ya mpango wa […]
-
UGEMAJI POMBE WAIBUA WASIWASI KUHUSU HATIMA YA VIJANA BARINGO KASKAZINI.
Na Benson AswaniWasomi katika eneo bunge la Baringo kaskazini kwenye kaunti ya Baringo sasa wanawataka maafisa wa usalama kuanzisha msako mkali wa kuwakabili wagemaji na wauzaji wa pombe haramu.Wakiongizwa na […]
-
SHIRIKA LA CY KENYA LAENDELEZA MAFUNZO SHULENI KUHUSU COVID 19.
Na Benson AswaniShirika la CY Kenya kwa ushirikiano na wizara ya elimu linaendeleza mafunzo katika shule mbali mbali katika kaunti hii ya Pokot Magharibi ya jinsi ya kukabiliana na visa […]
Top News










