News
-
DEMOKRASIA VYAMANI YATILIWA SHAKA.
Ni hatua chache mno zimepigwa ili kuafikiwa kwa demokrasia katika vyama vya kisiasa humu nchini.Haya ni kwa mujibu wa mkurugenzi mkuu wa shirika la Haki na Amani Justice and Peace […]
-
VIONGOZI WATAKIWA KUIMARISHA MIUNDO MSINGI ALALE POKOT MAGHARIBI.
Viongozi eneo bunge la kacheliba kaunti hii ya Pokot magharibi wametakiwa kuangazia kikamilifu changamoto ambazo zinawakumba wakazi hasa katika eneo la Akoret wadi ya alale.Wakiongozwa na Emmanuel Napareng wakazi hao […]
-
‘HATUNA HOFU NA USALAMA WA CHAKULA POKOT MAGHARIBI’ YASEMA NDMA.
Mamlaka ya kushughulikia majanga NDMA kuanti hii ya pokot magharibi imeendeleza vikao vya kuangazia hali ya chakula katika kaunti hii ya pokot magharibi na kubaini maeneo ambayo yatahitaji misaada kutokana […]
-
WAUZAJI POMBE HARAMU TRANS NZOIA WAONYWA.
Idara ya uisaloama kaunti ya Trans nzoia kwa ushirikiano na kamati ya kutoa leseni kwa wauzaji wa vileo wameanzisha mikakati ya kukabiliana na watu wanaoingiza pombe haramu kutoka taifa jirani […]
-
BUNGE LA TAIFA LALAUMIWA KWA ONGEZEKO LA BEI ZA MAFUTA YA PETROLI.
Baadhi ya wahudumu wa boda boda katika kaunti hii ya Pokot magharibi sasa wameelekeza ghadahabu zao kwa bunge la taifa kwa kutochukua hatua za kuhakikisha bei ya mafuta inadhibitiwa nchini […]
-
SERIKALI YA POKOT MAGHARIBI YAAHIDI KUWEKEZA KATIKA WATAALAM.
Serikali ya kaunti hii ya Pokot magharibi imetenga zaidi ya shilingi milioni 30 zitakazotumika kufadhili wakazi kutoka kaunti hii waliofuzu katika taaluma mbali mbali kuendeleza masomo katika mataifa ya nje.Haya […]
-
KITUO CHA UPASUAJI CHAZINDULIWA KAPENGURIA.
Kituo cha kufanya upasuaji wa magonjwa sugu kimezinduliwa rasmi hii leo katika hospitali ya kapenguria kaunti hii ya pokot magharibi uzinduzi ambao umeongozwa na gavana John Lonyangapuo.Lonyangapuo amesema kuwa kuzinduliwa […]
-
VIONGOZI TRANS NZOIA WASHUTUMU MARUFUKU YA UKULIMA KWENYE MISITU.
Viongozi Kaunti ya Trans-Nzoia wanaendelea kushutumu vikali Sera ya wizara ya misitu na wanyama pori kupiga marufuku ukuzaji wa chakula haswa zao la mahindi kwenye misitu maarufu shamba system wakisema […]
-
MWALIMU AKUNG’UTWA NA WANAFUNZI SABOTI TRANS NZOIA.
Mwalimu mmoja wa shule ya upili ya mseto ya Nakuto st Johns Sikinwa kwenye eneo bunge la Saboti kaunti ya Trans nzopia amerekodi taarifa baada ya kushambuliwa na watahiniwa wake […]
-
WAHUDUMU WA MAGARI WALALAMIKIA VIZUIZI VYA POLISI ORTUM.
Wahudumu wa magari ya uchukuzi ya kutoka mjini makutano kuelekea ortum kaunti hii ya pokot magharibi wamelalamikia vizuizi vingi vya polisi ambavyo vipo kwenye barabara hiyo wakitaka idara husika kuvipunguza.Wakiongozwa […]
Top News