News
-
MTAMBO WA SOLA ULIOIBWA WATAPATIKANA UMETUPWA NDANI YA SHULE YENYEWE
Siku moja tu baada ya kituo hiki kuangazia wizi wa mitambo miwili ya sola katika shule ya wasichana ya St Bakhita eneo bunge la kacheliba kaunti hii ya Pokot magharibi, […]
-
VIONGOZI WASHAURIWA KUDUMISHA AMANI WAKATI HUU WA KAMPEINI KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI
Baadhi ya wakazi katika kaunti hii ya Pokot magharibi wameelezea kughadhabishwa na kile wamedai hatua ya viongozi wa kaunti hii kuegemea siasa pakubwa na kutelekeza miradi ya maendeleo ya kuwanufaisha […]
-
‘CHAMA CHA KANU KINGALI IMARA POKOT MAGHARIBI.’ ASEMA ATUDONYANG.
Chama cha KANU kingali imara katika kaunti hii ya Pokot magharibi licha ya kuibuka vyama mbali mbali kueleka uchaguzi mkuu wa mwezi agosti mwaka huu.Akizungumza na kituo hiki kutoka mjini […]
-
WIZI WA MITAMBO YA SOLA SHULENI KACHELIBA VYAKITHIRI.
Visa vya wizi wa mitambo ya sola shuleni vimeripotiwa kukithiri eneo la Kacheliba katika kaunti hii ya Pokot magharibi shule ya wasichana ya St Bakhita ikiathirika pakubwa na wizi huo.Kulingana […]
-
BISAU AJIONDOA KWENYE KINYANG’ANYIRO CHA UGAVANA TRANS NZOIA NA KUMUUNGA MKONO NATEMBEYA.
Katibu wa miundo msingi katika afisi ya naibu rais Willaim Ruto Kakai Bisau amejiondoa katika kinyang’anyiro cha ugavana kaunti ya Trans nzoia na badala yake kutangaza kuwania kiti cha ubunge […]
-
WAHUDUMU WA BODA BODA TRANS NZOIA WATISHIA KUTOLIPA USHURU KUFUATIA AHADI ZA ‘UONGO’ ZA GAVANA KHAEMBA.
Wahudumu wa boda boda katika Kaunti ya Trans Nzoia wametishia kutolipa ushuru na vile vile kufanya maandamano juma lijalo kutokana na kile wamedai ahadi za uongo za Gavana Patrick Khaemba […]
-
KITALAWIAN AJIUZULU NA KUTANGAZA KUWANIA UBUNGE SIGOR.
Waziri wa maji, mazingira na mali asili katika kaunti hii ya Pokot magharibi Francis Kitalawian amejiuzulu katika wadhifa huo.Kitalawian amejiuzulu kulingana na takwa la kisheria ili kuwania kiti cha ubunge […]
-
MSWADA WA MAREKEBISHO YA SHERIA ZA UCHAGUZI WAENDELEA KUIBUA HISIA NCHINI.
Viongozi mbali mbali wa kisiasa nchini wameendelea kupinga mswada wa marekebisho kuhusu sheria za uchaguzi ambao tayari umewasilishwa bungeni na kiongozi wa wengi katika bunge la kitaifa Amos Kimunya.Wa hivi […]
-
MIGAWANYIKO YAENDELEA KATIKA BARAZA LA WAZEE WA KEIYO KUHUSU KUIDHINISHWA JOSEPH BOINET KUWANIA UGAVANA ELGEYO MARAKWET.
Siku chache baada ya wazee wa jamii ya keiyo kumwidhinisha aliyekuwa inspekta mkuu wa polisi Joseph Boinet kuwania kiti cha ugavana katika kaunti ya Elgeyo marakwet, baadhi ya wazee na […]
-
ATWOLI ASUTWA BARINGO KUFUATIA KAULI YAKE KUHUSU RUTO
Baadhi ya viongozi katika kaunti ya Baringo wamemsuta katibu mkuu wa muungano wa wafanyakazi nchini COTU Francis Atwoli kutokana na kauli yake kwamba naibu rais Dkt William Ruto anaweza kujitia […]
Top News









