News
-
VIONGOZI WAHIMIZWA KUHESHIMU TUME YA UCHAGUZI YA IEBC BARINGO
Mwakilishi wa wadi ya bartabwa katika kaunti ya baringo reuben chepsongol amewarai viongozi wa muungano wa azimio la umoja kuheshimu tume huru ya uchaguzi na mipaka iebc na impe nafasi […]
-
WAKAAZI WA ENEO LA NASOLOT KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI WAPOKEZWA CHAKULA CHA MSAADA
Wakazi wa eneo la Nasolot katika kaunti hii ya Pokot magharibi ambao walipokezwa msaada wa chakula na mahitaji mengine na shirika la msalaba mwekundu kwa ushirikiano na serikali ya kaunti […]
-
SERIKALI YA POKOT MAGHARIBI YATIA SAINI MKATABA WA USHIRIKIANO NA USAID.
Serikali ya kaunti hii ya Pokot magharibi imenufaika pakubwa kutokana na mfumo wa ugatuzi ambao umepelekea kuafikiwa miradi mbali mbali ya maendeleo ambayo haikuwepo awali.Akizungumza wakati wa kutiwa mkataba wa […]
-
MAKALI YA NJAA YAZIDI KUSHUHUDIWA POKOT MAGHARIBI.
Takriban nyumba alfu 37 ambazo zimeathiriwa na baa la njaa zimefikiwa na idara ya majanga katika kaunti hii ya Pokot magharibi.Akithibitisha haya msimamizi wa idara hiyo katika kaunti hii ya […]
-
VIONGOZI MBALI MBALI WAENDELEA KUSHUTUMU MAUAJI ENEO LA KAINUK.
Aliyekuwa Waziri wa Mafuta John Munyes amelalamikia mauaji ya zaidi ya watu kumi eneo la kainuk mipakani pa Kaunti za Pokot Magharibi na Turkana.Kwenye kikao na wanahabari mjini Kitale katika […]
-
WASOMI BARINGO WATAKA JAMII ZA WACHACHE KUJUMUISHWA KATIKA SERIKALI IJAYO.
Wasomi kutoka jamii za walio wachache nchini wamewasilisha memoranda iliyo na mapendekezo wanayotaka yaangaziwe na utawala wa chama cha UDA iwapo kitatwaa uongozi wa taifa hili katika uchaguzi wa tarehe […]
-
‘REKODI YA MAENDELEO YA WAGOMBEA NDIYO ITAKAYOAMUA HATIMA YAO’, WASEMA WAKAZI LOMUT.
Wakazi wa kaunti hii ya Pokot magharibi wametakiwa kuwa makini na kuwapiga msasa viongozi wote wa kisiasa ambao wametangaza nia ya kugombea nyadhifa za uongozi katika uchaguzi mkuu wa mwezi […]
-
WAPIGA KURA WATAKIWA KUJIFUNZA KWA MAKOSA YA UCHAGUZI MKUU ULIOPITA POKOT MAGHARIBI.
Wakazi wa kaunti hii ya pokot magharibi wametakiwa kuwa makini katika uchaguzi mkuu wa tarehe 9 mwezi agosti na kufanya uamuzi wa busara.Akizungumza na kituo hiki naibu gavana Nicholas Atudonyang […]
-
SERIKALI YA TRANS NZOIA YASHUTUMIWA KWA KUKITHIRI UFISADI.
Aliyekuwa mratibu wa utawala eneo la bonde la ufa George Natembeya ambaye ametangaza nia ya kuwania kiti cha ugavana katika kaunti ya Trans nzoia ameahidi kuimarisha maenedeleo katika kaunti hiyo […]
-
VIONGOZI TRANS NZOIA WATAKIWA KUHUBIRI AMANI KATIKA MIKUTANO YA SIASA.
Viongozi wa kidini katika kaunti ya Trns nzoia wametoa wito kwa viongozi wa kisiasa kuwa msitari wa mbele katika kuhubiri amani hasa wakati huu ambapo siasa za uchaguzi mkuu wa […]
Top News










