News
-
UDA YAANZA MIKAKATI YA KUTEKELEZA MFUMO WA UCHUMI WA BOTTOM UP POKOT MAGHARIBI.
Viongozi wa chama cha UDA kinachoongozwa na naibu rais William Ruto katika kaunti hii ya Pokot magharibi wameanza mikakati ya kuangazia mikakati ya jinsi ya kutekeleza matakwa ya wananchi iwapo […]
-
JENGO LA MAHAKAMA YA KAPENGURIA LAZINDULIWA LEO.
Kuzinduliwa kwa jengo la mahakama ya kapenguria katika kaunti hii ya Pokot magharibi katika shughuli inayotarajiwa kuongozwa leo na jaji mkuu Martha Komme, kutatoa fursa bora ya kushughulikiwa kesi mbali […]
-
CHUO CHA KITALAKAPEL CHALALAMIKIA UHABA WA MAJI.
Uongozi wa chuo cha kitalakapel katika kaunti hii ya Pokot magharibi umelalamikia ukosefu wa maji katika shule hiyo na eneo la Kitalakapel kwa ujumla.Mwalimu mkuu chuo hicho john Kibowen amesema […]
-
VIONGOZI POKOT MAGHARIBI WAKASHIFU KAULI INAYOHUSISHA JAMII YA POKOT NA SHAMBULIZI LA BASI LA SHULE YA TOT.
Viongozi katika kaunti hii ya Pokot magharibi wameendelea kukashifu hatua ya kuhusishwa jamii ya Pokot na shambulizi la basi la shule ya upili ya Tot kaunti ya Elgeyo Marakwet ambapo […]
-
KINYANG’ANYIRO CHA UBUNGE KAPENGURIA CHAENDELEA KUVUTIA WAGOMBEA ZAIDI.
Chini ya miezi sita kabla ya uchaguzi mkuu wa mwezi agosti, wanasiasa mbali mbali wameendelea kujitokeza kutangaza nia ya kugombea viti vya uongozi katika uchaguzi huo.Wa hivi punde kutangaza nia […]
-
UONGOZI WA SHULE YA UPILI YA HOLY ROSARY WALALAMIKIA KUKITHIRI VISA VYA AJALI ZA BARABARANI ENEO HILO.
Wito umetolewa kwa idara inayohusika na maswala ya barabara kujenga matuta kwenye barabara karibu na shule ya upili ya wasichana ya holy Rosari kaunti hii ya Pokot magharibi.Ni wito ambao […]
-
WAKULIMA WA KAHAWA POKOT MAGHARIBI WATAKIWA KUKUMBATIA KILIMO BIASHARA.
Wakulima wa kahawa Kaunti hii ya pokot magharibi waliweza kuzalisha takriban kilo 170,000 kutoka kwa wakulima mwaka uliopita, ambazo tayari zimewasilishwa kwenye mnada wa kahawa na wamepokea malipo.Haya ni kwa […]
-
MWANAKANDARASI ANAYEJENGA DARAJA LA TILAK ATAKIWA KUHARAKISHA UJENZI WA DARAJA HILO.
Mwanakandarasi anayetekeleza ujenzi wa daraja katika barabara ya Tilak kuelekea makutano kwenye eneo bunge la Kapenguria kaunti hii ya Pokot magharibi ametakiwa kuharakisha ujenzi wa daraja hilo ili kurahisisha shughuli […]
-
NCIC YATAKIWA KUFUATILIA KWA MAKINI KAULI ZA WANASIASA MSIMU HUU WA KAMPENI ZA UCHAGUZI.
Tume ya uwiano na utangamano NCIC imetakiwa kufuatilia mienmendo ya viongozi wa kisiasa nchini na kuwachukulia hatua kali wanasiasa ambao wanawachochea wananchi wakati huu taifa linapoelekea kwenye uchaguzi mkuu wa […]
-
AKINA MAMA KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI WAHIMIZWA KUJIUNGA KWENYE MAKUNDI ILIKUWEZA KUJIENDELEZA SIKU ZA USONI
Akina mama katika kaunti ya Pokot magharibi wametakiwa kujitokeza na kujiunga na shirika la Joyfull Women Organization ili kuekeza kwa ajili ya kuboresha maisha yao.Akizungumza na akina mama hao mjini […]
Top News










