News
-
SPIKA AKANA KUWEPO MIPANGO YA KUWAZUIA BAADHI YA WABUNGE KUHUDHURIA VIKAO POKOT MAGHARIBI.
Vikao vya bunge la kaunti hii ya Pokot magharibi vikitarajiwa kurejelewa hii leo spika wa bunge hilo Catherine Mukenyang amepinga madai ya kuwepo mipango ya kuwazuilia baadhi ya wabunge kuhudhuria […]
-
ANG’ELEI APUUZILIA MBALI MADAI KUWA AMEJIUNGA NA CHAMA CHA KUP.
Mwakilishi wadi ya Batei katika kaunti hii ya Pokot magharibi Solomon Ang’elei amepuuzilia mbali madai kuwa ni mwanachama wa chama cha KUP kinachoongozwa na gavana wa kaunti hii John Lonyangapuo […]
-
VIONGOZI TRANS NZOIA WAPINGA MABADILIKO KUHUSU SHERIA ZA UCHAGUZI.
Baadhi ya viongozi kutoka Kaunti ya Trans Nzoia wamepinga vikali hatua ya baadhi ya wabunge wa kitaifa kutaka kubadili sheria za usimamizi wa uchaguzi na kurejesha mfumo wa zamani wa […]
-
TRANS NZOIA YASAJILI ASILIMIA 32 YA WAPIGA KURA.
Asilimia 68 ya wapiga kura waliolengwa kusajiliwa kuwa wapiga kura wapya katika kaunti ya Trans nzoia kwenye zoezi la usajili wa wapiga kura wapya ambalo lilikamilika tarehe 6 mwezi huu […]
-
VIONGOZI WAHIMIZA AMANI KAINUK POKOT MAGHARIBI.
Viongozi katika kaunti hii ya Pokot magharibi wameendelea kuhimiza wakazi wa eneo la Kainuk mipakani pa kaunti hii ya Pokot magharibi na Turkana kukumbatia amani na kujitenga na visa vya […]
-
WAKAZI POKOT MAGHARIBI WAHIMIZWA KUKUMBATIA MTAALA WA CBC.
Wito umetolewa kwa wazazi kukumbatia mtaala mpya wa elimu CBC unaotajwa kuwa wenye manufaa makubwa kwa wanafunzi.Wakiongozwa na Albert Maindi mwalimu mkuu wa shule ya msingi ya makutano Central na […]
-
TUME YA UCHAGUZI IEBC WATAKIWA KUBATILISHA HITAJI LA VYETI VYA MASOMO KATIKA KUWANIA VITI VYA KISIASA.
Baadhi ya wagombea wa viti mbali mbali vya kisiasa katika uchaguzi mkuu wa mwezi agosti mwaka huu sasa wanaitaka tume huru ya uchaguzi na mipaka IEBC kubatilisha hitaji la vyeti […]
-
WAKAZI TRANS NZOIA WAHIMIZWA KUWANGAZIA SERA ZA WANASIASA WALA SI VYAMA.
Ikiwa imesalia takriban miezi sita kabla ya uchaguzi mkuu wa terehe 9 mwezi agosti, wakazi katika kaunti ya Trans nzoia wameshauriwa kuangazia sera za wawaniaji wa nyadhifa za uongozi na […]
-
POGHISIO AKASHIFU UVAMIZI UNAOSHUHUDIWA MIPAKANI PA POKOT MAGHARIBI NA TURKANA.
Seneta wa Kaunti ya Pokot Magharibi Samuel Poghisio ameukashifu visa vya uvamizi ambavyo vimeendelea kushuhudiwa katika Eneo la Kainuk mipakani pa Kaunti hii ya Pokot Magharibi na Turkana, akisema kwamba […]
-
SERIKALI YATAKIWA KUDHIBITI USALAMA MIPAKANI PA KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI NA ELGEYO MARAKWET.
Viongozi kutoka kaunti ya pokot magharibi sasa wanaitaka serkali kuingilia kati na kudhibiti hali ya usalama katika eneo la kaunti za baringo pokot na elgeyo marakwet ili kuhakikishia wakaazi wa […]
Top News










