News
-
ODM CHAKANA KUWEPO MKATABA KATI YAKE NA KUP.
Mwenyekiti wa Chama Cha ODM katika Kaunti ya Pokot Magharibi Joseph Akaule ameweka bayana kwamba hakujakuwapo na maelewano baina ya Chama hicho na Chama Cha KUP chake gavana John Lonyangapuo.Wakihojiwa […]
-
WAZAZI WATAKIWA KUTEKELEZA JUKUMU LA KUDUMISHA NIDHAMU MIONGONI MWA WANAO.
Wito umetolewa kwa wazazi katika kaunti hii ya Pokot magaribi kushirikianba na walimu katika kuhakikisha nidhamu miongoni kwa wanafunzi.Naibu mwalimu mkuu wa shule ya upili ya Chepkono Jodina Wekesa amesema […]
-
VIONGOZI WA KISIASA BONDE LA KERIO WATAKIWA KUCHUNGA NDIMI ZAO.
Jamii za kaunti hii ya Pokot magharibi na kaunti jirani ya Elgeyo marakwet zimetakiwa kuishi kwa amani na kujitenga na visa vianvyosababisha utovu wa usalama hasa wakati huu ambapo taifa […]
-
RAIS ATAKIWA KUANGAZIA HALI TETE YA USALAMA ENEO LA KERIO VALLEY.
Baadhi ya viongozi kwenye kaunti ya elgeyo marakwet wamemshutumu rais uhuru kenyatta kwa kusalia kimya kuhusu swala la utovu wa usalama kwenye eneo la bonde la kerio ambalo limechangiwa na […]
-
WADAU WATAKIWA KUSHIRIKIANA KUHIFADHI VYANZO VYA MAJI TRANS NZOIA.
Ipo haja ya ushirikiano baina ya serikali, wananchi na washikadau katika sekta ya mazingira ili kuhifadhi Chemichemi na vyazo vya maji katika Kaunti ya Trans-Nzoia.Akihutubu kwenye maadhimisho ya siku ya […]
-
MATAMSHI YA MBUNGE WA EALA KUHUSU KUJIHAMI KWA BUNDUKI WAKAZI WA BARINGO YAIBUA HISIA KALI.
Wakazi katika kaunti hii ya Pokot magharibi wameendelea kuelezea gadhabu zao kufuatia video ambayo imeenea mitandaoni ikimwonyesha mbunge katika bunge la Afrika mashariki EALA Florence Jematia akipendekeza wakazi wa kaunti […]
-
SERA YA ASILIMIA 100 YA WANAFUNZI WANAOJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA YAPELEKEA CHANGAMOTO KATIKA SHULE ZA UPILI.
Sera ya serikali kuhakikisha asilimia 100 ya wanafunzi ambao wanajiunga na kidato cha kwanza imepelekea ongezo kubwa la wanafunzi katika shule za upili hali ambayo pia imekuja na changamoto mbali […]
-
WEZI WA MIFUGO BONDE LA KERIO WAAHIDIWA MAKABILIANO MAKALI.
Mshirikishi wa usalama katika ukanda wa bonde la ufa mohammed maalim ametoa onyo kali kwa wahalifu wanaoendeleza uvamizi na wizi wa mifugo katika eneo la bonde la kerio.Akiongea katika eneo […]
-
MIGAWANYIKO YAANZA KUSHUHUDIWA KATIKA MUUNGANO WA KENYA KWANZA.
Baadhi ya wanachama wa muungano wa kenya kwanza Trans nzoia wamesuta matamshi ya mwenyekiti wa UDA Johnstone Muthama aliotoa juzi wakidai huenda ikaleta mshike mshike chamani humo.Wakiongozwa na luke naibei […]
-
NDMA YAENDELEZA UTATHMINI WA ATHARI ZA MSIMU WA MVUA POKOT MAGHARIBI.
Mamlaka ya kushughulikia majanga NDMA katika kaunti hii ya Pokot magharibi inaendeleza utathmini wa athari za msimu wa mvua uliokamilika ili kubaini athari za mvua hiyo katika sekta mbali mbali […]
Top News










