News
-
WAHUDUMU WA BODA BODA WATANGAZA KIVUMBI MNAGEI.
Wito umetolewa kwa wahudumu wa boda boda katika kaunti hii ya Pokot magharibi kudumisha amani na kutokubali kutumika na wanasiasa kuvuruga amani hasa msimu huu ambapo siasa za uchaguzi mkuu […]
-
WAKAZI WA BARINGO WALALAMIKIA UKOSEFU WA MAAFISA WA USAJILI KATIKA BAADHI YA VITUO VYA USAJILI.
Ikiwa imesalia takriban siku saba kabla ya shughuli ya usajili wa wapiga kura wapya kutamatika, baadhi ya wakazi katika kaunti ya baringo wamejitokeza na kulalamikia kutokuwapo maafisa wa usajili kwenye […]
-
MRENGO WA RUTO WALALAMIKIA SHERIA TATA ZA VYAMA VYA KISIASA.
Wabunge kwenye eneo la bonde la ufa wanaoegemea mrengo wa naibu rais Dkt William Ruto wameendelea kutoa kauli mseto kuhusu sheria tata ya vyama vya kisiasa iliyotiwa saini na rais […]
-
VIONGOZI WAHIMIZWA KUWEKA MIKAKATI YA KUKABILI UTOVU WA USALAMA KERIO VALLEY.
Viongozi kaunti hii ya Pokot magharibi wameendelea kukashifu utovu wa usalama ambao unashuhudiwa katika bonde la Kerio, kufuatia mauaji ya watu watatu siku ya ijumaa baada ya kupigwa risasi na […]
-
MPANGO WA KUTOA CHAKULA SHULENI ENEO BUNGE LA KACHELIBA WAENDELEZWA.
Serikali inaendeleza mpango wa kutoa chakula kwa shule za msingi katika kaunti hii ya Pokot magharibi katika juhudi za kuhakikisha kuwa wanafunzi wanahudhuria masomo bila tatizo lolote.Hii ni baada ya […]
-
SERIKALI YASHUTUMNIWA KWA KUSHINDWA KUDUMISHA USALAMA BARINGO.
Viongozi katika kaunti ya Baringo wameishutu serikali kuu kwa madai ya kushindwa kutafutia suluhu ya kudumu tatizo la ukosefu wa usalama kwenye baadhi ya maeneo ya kaunti hiyo.Wakiongea kwenye eneo […]
-
VIONGOZI WA POKOT KUSINI WAMSHUTUMU MBUNGE WA ENEO HILO DAVID PKOSING
Mbunge wa pokot kusini kaunti hii ya Pokot magharibi David Pkosing ameshutumiwa vikali kwa madai anayodaiwa kutoa katika vyombo vya habari kuwa naibu rais William Ruto alitoa fedha kwa baadhi […]
-
MIKAKATI INAENDELEA KUWEKWA ILIKUHAKIKISHA WALIMU ZAIDI WANAJIRIWA KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI
Tume ya huduma kwa walimu nchini TSC inaendeleza mikakati ya kuwaajiri walimu zaidi katika maeneo yanayoshuhudia uhaba wa walimu ili kuboresha viwango vya elimu maeneo hayo.Haya ni kwa mujibu wa […]
-
WANAFUNZI 496 WAREJESHWA SHULENI KUFUATIA OPARESHENI ILIYOENDESHWA KACHELIBA.
Zaidi ya wanafunzi 400 katika kaunti ndogo ya kacheliba kaunti hii ya Pokot magharibi waliweza kurejeshwa shuleni katika oparesheni iliyoendeshwa eneo hilo na wadau wa elimu kwa ushirikiano na shirika […]
-
VISA VYA KUJIFUNGUA WATAHINIWA KATIKA MITIHANI LATARAJIWA KUPUNGUA MWAKA HUU.
Swala la watahiniwa wa kike kufanya mitihani ya kitaifa wakiwa wajawazito linatarajiwa kupungua pakubwa kwenye baadhi ya shule katika kaunti hii ya pokot magharibi mwaka huu ikilinganishwa na jinsi ilivyoshuhudiwa […]
Top News










