News
-
WAZAZI ELGEYO MARAKWET WAHIMIZWA KUWATUNZAA WANAO DHIDI YA MAHUSIANO YA KIMAPENZI.
Mwakilishi wadi maalum katika bunge la kaunti ya Elgeyo Marakwet Moreen Masit amewahimiza wazazi kaunti hiyo kuwashauri wanao hasa wasichana dhidi ya kujiingiza katika mahusiano ya kimapenzi wakiwa wachanga.Masit ametaja […]
-
UNYAKUZI WA ARDHI WAKITHIRI KABARNET, BARINGO.
Gavana Kaunti ya Baringo Stanley Kiptis amelalamikia visa vya unyakuzi wa ardhi ya umma ambavyo vimetekelezwa na watu binafsi na mabwenyenye hasa viungani mwa mji wa Kabarnet.Akiongea wakati wa kuzindua […]
-
ONYO YATOLEWA KWA WANAOWAOZA WATOTO KACHELIBA.
Mikakati mbali mbali ambayo inawekwa na idara ya usalama eneo la Kacheliba katika kaunti hii ya Pokot magharibi imechangia kupungua pakubwa visa vya ndoa za mapema na ukeketaji eneo hilo.Anavyotujuza […]
-
HOSPITALI YA KACHELIBA YAKANUSHA MADAI YA UHABA WA DAWA.
Siku chache tu baada ya wakazi kutoka eneo la kacheliba kaunti hii ya pokot magharibi kulalamikia huduma duni katika hospitali ya kacheliba kufuatia uhaba wa dawa, uongozi wa hospitali hiyo […]
-
WAKAZI POKOT MAGHARIBI WATAKIWA KUENDELEA KUJITOKEZA KUSAJILIWA KUWA WAPIGA KURA.
Viongozi katika kaunti hii ya Pokot magharibi wameendelea kutoa wito kwa wakazi kujitokjeza kwa wingi kusajiliwa kuwa wapiga kura katika zoezi linaloendelezwa na tume ya uchaguzi na uratibu wa mipaka […]
-
AFISI YA USAJILI WA WATU TRANS NZOIA YATAKIWA KUHARAKISHA ZOEZI LA UTOAJI VITAMBULISHO.
Wito umetolewa kwa afisi ya usajili wa watu kuharakisha mchakato wa kutoa vitambulisho kwa vijana ili ili wapate nafasi ya kujisajili kuwa wapiga kura kwenye awamu ya pili ya usajili […]
-
MIMBA ZA MAPEMA ZATAJWA KUSALIA CHANGAMOTO POKOT MAGHARIBI.
Wadau katika sekta ya elimu wameendelea kulalamikia mimba za mapema miongoni mwa wanafunzi wa kike katika shule mbali mbali kaunti hii ya Pokot magharibi hali ambayo imewapelekea wanafunzi wengi kukosa […]
-
HATUA YA MUDAVADI KUSHIRIKIANA NA RUTO YAZIDI KUIBUA HISIA NCHINI.
Hisia mseto zimeendelea kuibuliwa nchini kufuatia hatua ya kinara wa chama cha ANC Musalia Mudavadi kuamua kushirikiana na naibu rais William Ruto kuelekea uchaguzi mkuu wa mwezi agosti.Baadhi ya wandani […]
-
VIONGOZI BARINGO WASHINIKIZA KUBADILISHEA MBINU ZA KUKABILI UTOVU WA USALAMA KAUNTI HIYO.
Pana haja ya kubadilishwa mbinu za kukabili utovu wa usalama unaochangiwa na uvamizi pamoja na wizi wa mifugo kwenye eneo bunge la baringo kaskazini na kusini kwenye kaunti ya baringo.Kulingana […]
-
SERIKALI YA LONYANGAPUO YAZIDI KUKASHIFIWA KWA MADAI YA UFISADI.
Uchaguzi mkuu wa agosti 9 unapokaribia wakazi wa kaunti hii ya Pokot magharibi wametakiwa kuwa makini na kuweka kwenye mizani kila kiongozi ili kuwachagua viongozi kulingana na rekodi yao ya […]
Top News










