News
-
POGHISIO ATOA WITO WA KUZIDISHWA JUHUDI ZA KUTWAA SILAHA HARAMU MAENEO KAME.
Seneta wa kaunti hii ya Pokot magharibi Samwel Poghisio ameelezea kusikitishwa na umiliki wa hali ya juu wa bunduki miongoni mwa raia nchini hasa maeneo kame.Akirejelea kisa cha kujipiga risasi […]
-
WAZAZI WALALAMIKIA GHARAMA YA JUU YA BIDHAA ZA SHULE WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA WAKISAJILIWA.
Usajili wa wanafunzi ambao wanajiunga na kidato cha kwanza ukiendelea kote nchini baada ya shughuli hiyo kung’oa nanga jumatano, wazazi katika kaunti hii ya Pokot Magharibi wakilalamikia kupanda kwa gharama […]
-
UTOVU WA USALAMA BARINGO WAATHIRI USAJILI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA.
Huenda utovu wa usalama katika kaunti ya Baringo ukaathiri hatma ya baadhi ya wanafunzi wanaojiunga na kidato cha kwanza baada yaw engine kulazimika kuyahama makazi yao.Baadhi ya wanafunzi katika eneo […]
-
IEBC YAPONGEZWA KWA KUSHINIKIZA THULUTHI MBILI YA JINSIA YA WAGOMBEA KATIKA VYAMA VYA KISIASA.
Viongozi wa kike katika kaunti ya Trans nzoia wameipongeza tume ya uchaguzi na mipaka IEBC kwa kuvishinikiza vyama vya kisiasa kuwasilisha orodha ya wagombea wao ambayo inaafiki thuluthi mbili ya […]
-
KIJANA MMOJA ENEO LA KAIBOS AUMIZWA SEHEMU NYETI NA MAAFISA WA POLISI WA KITUO CHA KAIBOS KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI
Familia moja eneo bunge la Kapenguria kaunti hii ya Pokot magharibi inalilia haki kufuatia madai ya jamaa yao kukamatwa na kudhulumiwa na maafisa watatu wa polisi wa kituo cha Kaibos […]
-
WITO WATOLEWA KWA MAAFISA WA POLISI KUFANYA UCHUNGUZI KUHUSIANA NA UVAMIZI ULIOSHUHUDIWA ENEO LA KAINUK KITALE LODWAR
Viongozi katika kaunti hii ya Pokot magharibi wameendelea kulaani kisa ambapo gari moja lililokuwa likisafiri kutoka Lodwar kaunti ya Turkana kueleka Kitale lilidaiwa kumiminiwa risasi na watu wanaoaminika kuwa wavamizi.Wa […]
-
WAGOMBEZI HURU WASHAURIWA KUJA PAMOJA NA KUTATUA MGOGORO UNAOWAKUMBA ENEO LA ENDEBES KAUNTI YA TRANSNZOIA
Wazee wa jamii ya luhya eneo bunge la endebes kaunti ya transnzoia wameanzisha mikakati ya kuwaweka pamoja wagombezi huru eneo hilo ilikupata mwaniaji mmoja mwenye umaarufu ilikuimarisha nafasi yao ya […]
-
WIZI WA MIFUGO BAINA YA JAMII ZA POKOT NA KARAMOJA WARIPOTIWA KUKITHIRI.
Visa vya utovu wa usalama baina ya jamii za Pokot na Karamoja mpakani pa kaunti hii ya Pokot magharibi na taifa jirani la Uganda vimeripotiwa kukithiri siku za hivi karibuni.Kulingana […]
-
POGHISIO AKOSOA WAPINZANI WAKE WANAOGOMBEA USENETA POKOT MAGHARIBI
Seneta wa kaunti hii ya Pokot magharibi Samwel Poghisio amepuuzilia mbali wapinzani wake ambao wametangaza kuwania kiti hicho katika uchaguzi mkuu wa mwezi agosti mwaka huu.Akizungumza katika mahojiano ya kipekee […]
-
MASOMO KATIKA SHULE ZILIZOATHIRIKA NA UTOVU WA USALAMA BARINGO KUREJELEWA JUMA HILI.
Shule zote zilizofungwa katika kaunti ya Baringo kufuatia ukosefu wa usalama zinatarajiwa kufunguliwa jumatano wiki hii.Hii ni kufuatia agizo la serikali ambayo imeahidi kuhakikisha kwamba wanafunzi wanapata usalama wa kutosha […]
Top News










