News
-
GHARAMA YA MAISHA YAATHIRI ZOEZI LA KUWASAJILI WANAFUNZI KATIKA KIDATO CHA KWANZA.
Gharama ya juu ya maisha imepelekea kusita zaidi zoezi la kuwasajili wanafunzi wanaojiunga na kidato cha kwanza.Haya ni kwa mujibu wa baadhi ya wakuu wa shule katika kaunti hii ya […]
-
WAHISANI WATAKIWA KUWASAIDIA WANAFUNZI WALIOKOSA UFADHILI WA ELIMU SCHOLARSHIP BARINGO.
Wahisani mbalimbali katika kaunti ya baringo wameshauriwa kushirikiana kwa pamoja ili kuhakikisha watahiniwa zaidi ya 700 ambao hawakupata fursa ya kujiunga na shule za upili kupitia mradi wa elimu scholarship […]
-
UTOVU WA USALAMA WAENDELEA KUSHUHUDIWA MIPAKANI PA POKOT MAGHARIBI NA ELGEYO MARAKWET.
Viongozi katika kaunti hii ya Pokot magharibi wameendelea kushutumu uvamizi ambao unaendelea kushuhudiwa mipakani pa kaunti hii ya Pokot magharibi na kaunti jirani ya Elgeyo marakwet.Wakiongozwa na seneta wa kaunti […]
-
SERIKALI YA GAVANA LONYANGAPUO YALAUMIWA KUFUATIA KIFO CHA MWAKILISHI WADI YA LELAN.
Mbunge wa Kapenguria kaunti hii ya Pokot Magharibi Samwel Moroto amelaumu utepetevu wa serikali ya gavana John Lonyangapuo kufuatia kifo cha mwakilishi wadi ya Lelan Johnson Lokato.Akizungumza na kituo hiki […]
-
UTEUZI WA KARUA KUWA MGOMBEA MWENZA WA RAILA WAENDELEA KUPONGEZWA.
Baada ya mgombea wa urais katika muungano wa Azimio la Umoja Raila Odinga kumuteua Martha Karua kuwa mgombea mwenza, sherehe zilisheheni katika mji wa Kitale kina Mama wakisifia hatua ya […]
-
MTU MMOJA AULIWA KUFUATIA UVAMIZI TILAKAI POKOT MAGHARIBI.
Mtu mmoja ameuliwa huku wengine watatu wakiuguza majeraha mabaya baada ya shambulizi lililotokea katika vijiji vya Tilakai, Chepkokogh na Cheratak kwenye Wadi ya Lomut Pokot Magharibi.Uvamizi huo umetekelezwa na majambazi […]
-
POGHISIO APUUZA MADAI YA KUWEPO MPANGO WA KUMUUNGA MGOMBA MMOJA WA UGAVANA POKOT MAGHARIBI CHINI YA AZIMIO.
Seneta wa kaunti hii ya Pokot magharibi Samwel Poghisio amepuuzilia mbali madai kuwa kaunti hii imetengewa mgombea mmoja chini ya muungano wa azimio la umoja one Kenya kwa wadhifa wa […]
-
VIONGOZI WA DINI WAANDAA MAOMBI YA AMANI BARINGO.
Viongozi wa baraza la madhehebu mbali mbali kwenye kaunti ya baringo kwa ushirikiano na wale wa kisiasa katika eneo bunge la baringo kusini wameandaa mkutano wa pamoja kwa ajili ya […]
-
WADAU KATIKA SEKTA YA ELIMU WATAKA USALAMA KUIMARISHWA KATIKA MASHULE ZA MIPAKANI
Wadau wa sekta ya elimu katika kaunti ya elgeiyo marakwet sasa wanaitaka serikali kuu kuwahakikishia usalama wao walimu wanaofunza kwenye shule zilizoko eneo la bonde la kerio.Katibu mkuu wa chama […]
-
SHULE YA UPILI YA WAVULANA YA ORTUM YANGAA KATIKA MTIHANI WA KITAIFA
Shule ya upili ya Ortum katika kaunti hii ya Pokot magharibi ni miongoni mwa shule ambazo zilikuwa zikifahamika zaidi kwa visa vya utovu wa nidhamu miongoni mwa wanafunzi ikiripoti visa […]
Top News









