News
-
MGOMBEA KITI CHA UBUNGE ENDEBES KAUNTI YA TRANSNZOIA AHAIDI KUWATAFTA WAWEKEZAJI IWAPO ATACHAGULIWA
Kiongozi na musomi kutoka eneo bunge la Endebess Kaunti ya Trans Nzoia Pius Gumo amesema yuko tayari kuwatafuta waekezaji iwapo atachaguliwa kuwa Mbunge ili kupiga jeki eneo bunge hilo ikiwemo […]
-
WASHIKADAU KUTOKA KAUNTI YA TURKANA WAAHIDI KUHAKIKISHA VISA VYA MIMBA ZA MAPEMA ZINAPUNGUA
Mimba za mapema miongoni mwa wasichana na dhulma za jinsia ni baadhi ya changamoto zinazowakumba wasichana na wanawake katika kaunti ya turkanaChangamoto ambazo zimewaathiri wengi na sera zilizopo zikionekana kuwa […]
-
LONYANGAPUO ASUTA UDA KWA MADAI YA KUENEZA PROPAGANDA KUHUSU MGOMBEA MWENZA.
Wafuasi wa chama cha KUP katika kaunti hii ya Pokot magharibi wametakiwa kutokuwa na hofu kuhusiana na hatima ya mgombea mwenza wa mgombea wa ugavana wa kaunti kupitia chama hicho […]
-
MWAKILISHI WADI YA LELAN POKOT MAGHARIBI AENDELEA KUOMBOLEZWA.
Viongozi katika kaunti hii ya Pokot Magharibi wameendelea kumwomboleza mwakilishi wadi ya Lelan Johnson Lokato.Wa hivi punde kumwomboleza Lokato ni mgombea kiti cha ubunge eneo la Pokot kusini James Teko […]
-
IEBC YATAKIWA KUTOA ELIMU YA UMMA KUHUSU VITUO VIPYA VYA KUPIGIA KURA.
Tume ya uchaguzi na uratibu wa mipaka IEBC imetakiwa kutoa elimu kwa umma kuhusiana na hatua ya tume hiyo kutaka kuongeza idadi ya vituo vya kupigia kura nchini.Ni wito wake […]
-
MACHIFU WALAUMIWA KWA KUKITHIRI UTOVU WA USALAMA KERIO VALLEY.
Mshirikishi wa usalama eneo la bonde la ufa maalim Mohammed amewalaumu maafisa wa usalama maeneo ya mashinani katika kaunti zinazopatikana bonde la kerio kufuatia kukithiri utovu wa usalama ambao unasababishwa […]
-
GHARAMA YA MAISHA YAATHIRI ZOEZI LA KUWASAJILI WANAFUNZI KATIKA KIDATO CHA KWANZA.
Gharama ya juu ya maisha imepelekea kusita zaidi zoezi la kuwasajili wanafunzi wanaojiunga na kidato cha kwanza.Haya ni kwa mujibu wa baadhi ya wakuu wa shule katika kaunti hii ya […]
-
WAHISANI WATAKIWA KUWASAIDIA WANAFUNZI WALIOKOSA UFADHILI WA ELIMU SCHOLARSHIP BARINGO.
Wahisani mbalimbali katika kaunti ya baringo wameshauriwa kushirikiana kwa pamoja ili kuhakikisha watahiniwa zaidi ya 700 ambao hawakupata fursa ya kujiunga na shule za upili kupitia mradi wa elimu scholarship […]
-
UTOVU WA USALAMA WAENDELEA KUSHUHUDIWA MIPAKANI PA POKOT MAGHARIBI NA ELGEYO MARAKWET.
Viongozi katika kaunti hii ya Pokot magharibi wameendelea kushutumu uvamizi ambao unaendelea kushuhudiwa mipakani pa kaunti hii ya Pokot magharibi na kaunti jirani ya Elgeyo marakwet.Wakiongozwa na seneta wa kaunti […]
-
SERIKALI YA GAVANA LONYANGAPUO YALAUMIWA KUFUATIA KIFO CHA MWAKILISHI WADI YA LELAN.
Mbunge wa Kapenguria kaunti hii ya Pokot Magharibi Samwel Moroto amelaumu utepetevu wa serikali ya gavana John Lonyangapuo kufuatia kifo cha mwakilishi wadi ya Lelan Johnson Lokato.Akizungumza na kituo hiki […]
Top News










