News
-
CHAMA KIPYA CHA KUP CHA KATALIWA POKOT MAGHARIBI NA VIONGOZI WA KAUNTI HIYO
Seneta wa Kaunti hii Daktari Samuel Poghisio ametoa msimamo wake waziwazi kuhusiana Chama Cha KUP ambacho kimezinduliwa hiyo jana katika Jiji la Nairobi akisema kwamba kamwe hatajihusisha na vyama vya […]
-
MARUFUKU YA ‘KWARAKWARA’ YAUNGWA MKONO NA VIONGOZI POKOT MAGHARIBI.
Hatua ya naibu kamishina eneo pokot kaskazini kaunti hii ya Pokot magharibi kupiga marufuku michezo inayojulikana kama nasa kwarakwara eneo hilo imeendelea kupongezwa na baadhi ya viongozi katika kaunti hii […]
-
CHAMA KIPYA POKOT MAGHARIBI CHAZIDI KUPOKEA PINGAMIZI.
Juhudi za kubuniwa chama kipya cha kisiasa katika kaunti hii ya Pokot magharibi zinazoendelezwa na gavana John Lonyangapuo na mbunge wa pokot kusini David Pkosing zimeendelea kupokea pingamizi kutoka kwa […]
-
MWANARIADHA HOSEA MWOK KUZIKWA LEO MURKWIJIT.
Mwanariadha anayedaiwa kujitia kitanzi katika eneo la murkwijit kaunti hii ya pokot magharibi Hosea Mwok anazikwa leo.Mwili wa Mwok ulipatikana ukining’inia kwa kamba katika ghala la kuhifadhi chakula cha mifugo […]
-
WAKAZI TRANS NZOIA WATAKIWA KUJITOKEZA KUFANYIWA UCHUNGUZI WA MACHO.
Wito umetolewa kwa umma katika kaunti ya Trans nzoia kujitokeza na kufanyiwa uchunguzi wa macho ili kubaini iwapo wanakumbwa na matatizo yoyote mbali na kupata matibabu ya mapema.Wakihutubu baada ya […]
-
WAKULIMA WA ASALI KUNUFAIKJA ZAIDI NA MIKAKATI YA SERIKALI POKOT MAGHARIBI.
Serikali ya kaunti hii ya Pokot magharibi inaendelea kuweka mikakati ya kuhakikisha kuwa wakulima wa asali wanalindwa dhidi ya madalali ambao wamekuwa wakipunja kwa muda wakulima wa zao hilo.Akizungumza wakati […]
-
WANDANI WA RUTO WAENDELEA KUTETEA SERA ZAKE POKO MAGHARIBI.
Wandani wa naibu rais William Ruto katika kaunti hii ya Pokot magharibi wameendelea kutetea sera za Ruto kuelekea katika uchaguzi mkuu wa mwaka ujao.Wakizungumza katika mahojiano na kituo hiki, vijana […]
-
MIITO YAENDELEA KUTOLEWA KWA WAKAZI POKOT MAGHARIBI KUJISAJILI KUWA WAPIGA KURA.
Viongozi katika kaunti hii ya Pokot magharibi wameendelea kutoa wito kwa wakazi kujitokeza kwa wingi kusajiliwa kuwa wapiga kura katika zoezi la mwezi mmoja la usajili wa wapiga kura wapya […]
-
MIZOZO YAZIDI KUKUMBA CHAMA CHA FORD KENYA.
Mzozo wa uongozi katika chama cha ford kenya unazidi kutokota baadhi ya viongozi wa chama hicho kaunti ya Trans nzoia wakishinikiza mkutano wa kitaifa wa wanachama hicho kufanyika tarehe sita […]
-
SPIKA MUKENYANG KUHUDHURIA KIKAO CHA KWANZA TANGU KUBANDULIWA POKOT MAGHARIBI.
Kivumbi kinatarajiwa katika bunge la kaunti hii ya Pokot magharibi linaporejelea vikao vyake hii leo baada ya mapumziko ya mwezi mmoja.Spika wa bunge hilo Catherine Mukenyang anatarajiwa kuongoza vikao vya […]
Top News










