News
-
IDARA YA AFYA TRANS NZOIA YALENGA KUIMARISHA UTOAJI CHANJO YA COVID 19.
Na Benson AswaniIdara ya afya Kaunti ya Trans-Nzoia imeandaa mikutano na washikadau kutoka sekta mbalimbali kama njia moja ya kuimarisha kampeni ya utoaji wa chanjo dhidi ya covid 19 ili […]
-
MACHIFU TRANS NZOIA WAANZISHA OPARESHENI YA KUWASAKA VIJANA AMBAO HAWAJACHUKUA VITAMBULISHO.
Na Benson AswaniIkiwa zimesalia siku 9 kabla ya kutamatika zoezi la kuwasajili wapiga kura machifu na manaibu wao katika kaunti ya Trans nzoia wameendeleza harakati za kuwasaka wale ambao hawajachukua […]
-
WAZAZI POKOT MAGHARIBI WATAKIWA KUIPA KIPAU MBELE ELIMU YA MTOTO WA KIKE
Na Benson AswaniWazazi katika kaunti hii ya pokot magharibi wametakiwa kutii agizo lililotolewa na wizara ya elimu nchini na kuhakikisha kuwa wanao hasa wa kike walio na ujauzito wanendelea na […]
-
WAKAZI WA RIWO WALALAMIKIA HALI MBOVU YA BARABARA.
Na Benson AswaniWakazi wa eneo la Riwo kaunti hii ya Pokot magharibi wamelalamikia hali mbovu ya barabara za eneo hilo wakatika wadau husika kuhakikisha kuwa hali hiyo inashughulikiwa haraka iwezekanavyo.Wakiongozwa […]
-
WAKULIMA TRANS NZOIA WAPIGWA JEKI KUFUATIA UVUMBUZI WA MTAMBO WA KUKAUSHA MAHINDI.
Na Benson AswaniChuo kikuu cha Moi kimezinduaTeknolojia mpya kupitia kwa mtambo wa kukausha na kuhifadhi nafaka katika juhudi za kuboresha mbinu ya kulinda mazao ya kilimo dhidi ya uharibifu hasa […]
-
UHABA WA CHAKULA WATISHIA MASOMO BARINGO.
Na Benson AswaniHuenda baadhi ya wanafunzi kutoka familia maskini katika kaunti ya Baringo wakalazimika kusitisha masomo yao kutokana na ukosefu wa chakula nyumbani mwao.Kulingana na mwakilishi wadi ya Bartabwa Ruben […]
-
WANDANI WA RUTO WAENDELEA KUPIGIA DEBE AJENDA YAKE YA MAENDELEO.
Na Benson AswaniWandani wa naibu rais William Ruto katika kaunti hii ya Pokot magharibi wameendelea kupigia debe mfumo wake wa kuimarisha uchumi Bottom up economic model.Wakiongozwa na mwakilishi wadi ya […]
-
JAMII YA SENGWER YALALAMIKIA KUTENGWA KATIKA UONGOZI.
Na Benson AswaniJamii Ndogo ya Segwer wanaoishi kwenye Kaunti za Pokot Magharibi na Trans-Nzoia sasa wanataka kifungu cha katiba cha 57 kinacholinda jamii ndogo kutekelezwa kikamilifu ili kulinda haki ya […]
-
WAKAZI POKOT KASKAZINI WATAKIWA KUKUMBATIA UPANZI WA MITI.
Na Benson AswaniWakazi eneo la pokot kaskazini kaunti hii ya Pokot magharibi wametakiwa kukumbatia zoezi la upanzi wa miti ili kuafikia asilimia 10 ya misitu nchini.Akizungumza na kituo hiki afisa […]
-
SERIKALI YALENGA KUIMARISHA USALAMA KATIKA BONDE LA KERIO.
Na Benson AswaniSerikali inalenga kutuma vikosi maalum vya maafisa wa usalama katika eneo la bonde la kerio katika juhudi za kuimarisha oparesheni ya kusaka wezi wa mifugo.Mshirikishi wa utawala eneo […]
Top News










