News
-
SIASA ZATAJWA KUCHANGIA KUTUPILIWA MBALI BBI.
Na Benson AswaniViongozi wa shirika la kidini la Women of faith kaunti hii ya Pokot magharibi wametaja siasa kuwa chanzo cha kutajwa mchakato wa kufanyia katiba marekebisho kupitia mpango wa […]
-
NDOA ZA MAPEMA NA UKEKETAJI WASALIA CHANGAMOTO KWA ELIMU YA MTOTO WA KIKE.
Na Benson AswaniSwala la mimba za mapema pamoja na ukeketaji kwa mtoto wa kike kaunti hii ya Pokot magharibi limesalia changamoto kuu kwa elimu ya mtoto wa kike licha ya […]
-
GAVANA LONYANGAPUO ATAKIWA KUWEKA WAZI MIRADI YA MAENDELEO ALIYOTEKELEZA.
Na Benson AswaniGavana wa kaunti hii ya Pokot magharibi John Lonyangapuo anapotarajiwa kugombea kiti hicho kwa muhula wa pili katika uchaguzi mkuu wa mwaka ujao, shinikizo zimeendelea kutolewa kwake kuweka […]
-
SERIKALI YATAKIWA KUSAMBAZA CHAKULA KATIKA SHULE KAUNTI YA BARINGO.
Na Benson AswaniKaunti ya Baringo ikiwa miongoni mwa kaunti 23 nchini zilizoathirika na ukame, baadhi ya viongozi kwenye kaunti hiyo sasa wanaitaka serikali kusambaza chakula shuleni kama njia ya kuhakikisha […]
-
SIASA ZAPIGWA MARUFUKU MAKANISANI POKOT MAGHARIBI.
Na Benson AswaniViongozi wa kidini katika kaunti hii ya Pokot magharibi wamekubaliana kwa kauli moja kutoruhusu viongozi wa kisiasa kuendeleza kampeni zao katika maeneo ya kuabudu.Katika taarifa kwa vyombo vya […]
-
AFISA WA BODI YA KUAJIRI WAFANYIKAZI NA WAKILI WA KAUNTI WAHOJIWA.
Na Benson AswaniKamati ya bunge la kaunti ya Pokot magharibi kuhusu uteuzi imeendesha mchujo wa waliopendekezwa kuhudumu katika wadhifa afisa mkuu mtendaji wa bodi ya kuajiri wafanyikazi na wakili wa […]
-
‘MIKAKATI ZAIDI YAHITAJIKA KUWAREJESHA WATOTO SHULENI’, YASEMA KNEC
Na Benson AswaniSiku moja baada ya idara ya usalama kwa ushirikiano na wadau wengine kaunti hii ya Pokot magharibi kutangaza kuanza oparesheni ya kuhakikisha watoto wote katika kaunti hii wanarejeshwa […]
-
TRANS NZOIA YAPIGWA JEKI KATIKA UHIFADHI WA MSITU WA MLIMA ELGON
Na Benson AswaniKaunti ya Trans-Nzoia ni miongoni mwa Kaunti zinazotazamia ufadhili wa shilingi Dola Milioni 6 ya utunzaji wa msitu wa Mlima elgon kupitia wa ufadhili wa ushirkia wa maendeleo […]
-
OPARESHENI YA KUWAPELEKA WATOTO SHULENI YAANZISHWA POKOT MAGHARIBI.
Na Benson AswaniIdara ya usalama katika kaunti hii ya Pokot magharibi kwa ushirikiano na idara ya elimu miongoni mwa wadau wengine imeanzisha oparesheni ya kuhakikisha kuwa wanafunzi wote ambao hawajarejea […]
-
WAKAZI WA LOKIRIMO POKOT MAGHARIBI WATAKA KUPEWA MBINU ZA KUJIKIMU KIMAISHA.
Na Benson AswaniWakazi wa Lokirimo eneo la Kongelai kaunti hii ya Pokot magharibi wametoa wito kwa viongozi kuwatafutia mbinu za kutafuta riziki hasa baada ya kupigwa marufuku ugemaji wa pombe.Wakazi […]
Top News










