News
-
KENYA POWER YALAUMIWA KWA UTEPETEVU KACHELIBA.
Na Benson AswaniWakazi wa eneo la Kacheliba katika kaunti hii ya Pokot magharibi wameendelea kulalamikia ukosefu wa nguvu za umeme eneo hilo kwa muda sasa.Wakiongozwa na Joseph Sarich wakazi hao […]
-
VIONGOZI KUTOKA KERIO VALLEY WAHIMIZWA KUSHIRIKIANA KUKABILI VISA VYA UVAMIZI.
Na Benson AswaniViongozi kutoka kaunti ambazo zimekuwa zikishuhudia wizi wa mifugo hasa eneo la Kerio valley wamehimizwa kuja pamoja na kupata suluhu ya kudumu.Gavana wa kaunti ya Elgeyo marakwet Alex […]
-
WANAFUNZI KUTOKA JAMII MASIKINI WANUFAIKA NA BASARI SABOTI, TRANS NZOIA.
Na Benson AswaniZaidi ya wanafunzi 200 kutoka eneo bunge la Saboti Kaunti ya Trans-Nzoia wamefaidi basari kupitia kwa hazina ya fedha za ustawishaji maeneo bunge (NGCDF) chini ya Mbunge Caleb […]
-
IDARA ZA USALAMA NA ELIMU POKOT MAGHARIBI ZAENDELEZA MIKAKATI YA KUKABILI MIOTO SHULENI.
Na Benson Aswani Mikakati inaendelea kuwekwa na idara za usalama kwa ushirikiano na ile ya elimu kuhakikisha kuwa visa vya mioto shuleni ambavyo vimeonekana kuongezeka katika siku za hivi karibuni […]
-
VIONGOZI WATAKIWA KUSITISHA MIVUTANO POKOT MAGHARIBI.
Na Benson Aswani Wito umetolewa kwa viongozi wa kisiasa katika kaunti hii ya Pokot magharibi kusitisha mivutano ya mara kwa mara na badala yake kutumia muda wao mwingi kuwapa wakazi […]
-
HOSPITALI YA KAPENGURIA YAPOKEA VIFAA VYA MATIBABU KUTOKA KEMSA.
Na Benson Aswani Serikali ya kaunti ya Pokot magharibi imepigwa jeki katika shughuli za kutoa huduma za kiafya baada ya kupokea vifaa vya matibabu pamoja na dawa kutoka mamlaka ya […]
-
SHINIKIZO ZA KUONGEZA MUDA WA USAJILI WA WAPIGA KURA ZAENDELEA KUTOLEWA.
Na Benson Aswani Shughuli ya kuwasajili wapiga kura wapya ikitarajiwa kukamilika rasmi hii leo kundi moja la vijana katika kaunti ya baringo sasa wanairai tume ya uchaguzi nchini iebc kuongeza […]
-
UMASIKINI WATAJWA KUWA CHANZO KIKUU CHA WANAFUNZI WENGI KUKOSA KUHUDHURIA MASOMO POKOT MAGHARIBI.
Na Benson AswaniUmasikini, njaa na ndoa nyingi zilizovunjika ndio maswala ambayo yamechangia pakubwa idadi kubwa ya watoto ambao hawaendi shuleni eneo bunge la Kacheliba katika kaunti hii ya Pokot magharibi.Akizungumza […]
-
WAKAZI WATAKIWA KUJITOKEZA KUJISAJILIWA KUWA WAPIGA KURA ZOEZI HILO LINAPOTAMATIKA.
Na Benson AswaniZoezi la kuwasajili wapiga kura wapya linapoendelea kufika tamati, viongozi katika kaunti hii ya Pokot magharibi wameendelea kuwahamasisha wakazi hasa vijana kujitokeza kwa wingi kusajiliwa ili kuwa wapiga […]
-
KINA MAMA WATAKA KUPEWA FURSA YA KUONGOZA KATIKA NYADHIFA ZA SIASA.
Na Benson AswaniNi wakati kina mama pia wanastahili kupewa fursa ya uongozi katika kaunti hii ya Pokot magharibi.Haya ni kwa mujibu wa mgombea kiti cha ubunge katika eneo bunge la […]
Top News










