News
-
JUHUDI ZA KUOKOA MAPENDEKEZO YA BBI HUENDA ZIKAELEKEZWA BUNGENI.
Juhudi za kuhakikisha baadhi ya mapendekezo muhimu ambayo yalikuwa yakishinikizwa kupitia mpango wa upatanishi BBI uliotupiliwa mbali na mahakama kuu na kisha ile ya rufaa sasa zitaelekezwa katika bunge la […]
-
HOJA YA KUMBANDUA SPIKA YAWASILISHWA KATIKA BUNGE LA POKOT MAGHARIBI.
Hatima ya spika wa bunge la kaunti hii ya pokot magharibi Catherine Mukenyang sasa imo mikononi mwa wabunge katika bunge hilo baada ya kuwasilishwa hoja ya kumbandua afisini.Akiwasilisha hoja hiyo […]
-
UJENZI WA MADARASA KATIKA SHULE YA SIKULU TRANS NZOIA WAKAMILIKA.
Ni afueni kwa wanafunzi wa Shule ya msingi na upili ya Sikulu eneo bunge la Saboti Kaunti ya Trans-Nzoia baada ya kukamilika ujenzi wa madarasa 9 kwenye shule hizo kwa […]
-
WAKAZI WA OROLWO, POKOT MAGHARIBI WALALAMIKIA UHABA WA MAJI.
Wito umetolewa kwa serikali ya kaunti hii ya Pokot magharibi kupitia wizara ya maji na mazingira kuhakikisha wakazi wa orolwo wanapata maji safi kupitia uchimbaji wa visima vya maji eneo […]
-
VIONGOZI WATAKIWA KUZINGATIA UMOJA BAADA YA BBI.
Baada ya mahakama ya rufaa kusitisha mchakato mzima wa BBI Viongozi nchini wametakiwa kuzingatia umoja wa kitaifa huku uchaguzi mkuu wa mwaka ujao ukikaribia.Rais wa bunge la vijana nchini ambaye […]
-
‘KUTUPILIWA MBALI BBI KUNAFAA KUWA FUNZO KWA VIONGOZI WA POKOT MAGHARIBI.’ MOROTO.
Hisia mseto zimeendelea kuibuliwa miongoni mwa viongozi kufuatia hatua ya mahakama ya rufaa kudumisha uamuzi wa mahakama kuu wa kutupilia mbali mchakato wa kufanyia katiba marekebisho kupitia mpango wa BBI.Mbunge […]
-
KUPPET YALALAMIKIA UPUNGUFU WA WALIMU POKOT MAGHARIBI.
Tume ya huduma za walimu TSC imetakiwa kuangazia kwa ukamilifu swala la uhaba wa walimu katika shule za kaunti hii ya Pokot magharibi wakati ambapo serikali inatekeleza sera ya kuhakikisha […]
-
WAKULIMA SIYOI WAFUNZWA UMUHIMU WA KILIMO HAI.
Wakulima katika kaunti hii ya Pokot magharibi wameendelea kunufaika na mafunzo kutoka mashirika mbali mbali kuhusu mbinu za kilimo katika juhudi za kuhakikisha wanazingatia kilimo bora na kukabili baa la […]
-
MWANAFUNZI AOKOLEWA KUTOKA NDOA YA MAPEMA MTELO POKOT YA KATI.
Chifu wa eneo la seker kwa ushirikiano na naibu chifu wa mbara na chepkondol katika kaunti ndogo ya pokot ya kati kaunti hii ya pokot magharibi wamemwokoa mwanafunzi mmoja wa […]
-
VIONGOZI WATAKIWA KUKUMBATIA UAMUZI WA MAHAKAMA KUHUSU BBI.
Mahakama ya rufaa ikitarajiwa leo kutoa uamuzi kuhusu mchakato wa kufanyia katiba marekebisho kupitia mpango wa BBI miito imeendelea kutolewa kwa viongozi wa kisiasa kukubali matokeo ya kesi hiyo.Wakiongozwa na […]
Top News