News
-
VIONGOZI POKOT MAGHARIBI WAPUUZA KUZINDULIWA CHAMA CHA KUP.
Na Benson AswaniViongozi mbali mbali katika kaunti hii ya Pokot magharibi wameendelea kupuuza hatua ya kuzinduliwa chama kipya katika kaunti hii.Wa hivi punde kutolea hisia hatua hiyo ni seneta wa […]
-
KACHAPIN AKOSOA HATUA YA WATUMISHI WA UMMA KUJIHUSISHA NA SIASA.
Na Benson AswaniAliyekuwa gavana wa kaunti hii ya Pokot magharibi Simon Kachapin ametofautiana na misimamo ya baadhi ya maafisa serikalini ambao tayari wametangaza misimamo yao ya kisiasa katika uchaguzi mkuu […]
-
VIONGOZI WAKOSOA KUVURUGWA MIKUTANO YA RUTO.
Na Benson AswaniViongozi wa kisiasa nchini wanazidi kutoa hisia zao kutokana na kuvurugwa mikutano ya naibu rais William Ruto katika baadhi ya maeneo ambako amezuru nchini kisa cha hivi punde […]
-
WAKAZI WATAKIWA KUHAKIKISHA WANAO WANAPATA CHANJO TRANS NZOIA.
Na Benson AswaniWito umeendelea kutolewa kwa umma kuwapeleka wanao kupata chanjo katika Hospitali zote za Umma Kaunti ya Trans-Nzoia kwani imebanika idadi ndogo ya wazazi wanajitokeza kuwapeleka wanao kupata chanjo […]
-
WAFANYIBIASHARA WALALAMIKIA UCHAFU KATIKA SOKO LA KONGELAI.
Na Benson AswaniWafanyibiashara katika soko la Kongelai katika kaunti hii ya Pokot magharibi wamelalamikia uchafu katika soko hilo hali wanayodai huenda imesababishwa na mishahara duni wanayolipwa wanaoendeleza usafi katika soko […]
-
BAADHI YA VITUO VYA POLISI KUHAMISHWA TIATI, BARINGO.
Na Benson AswaniSerikali itahamisha baadhi ya vituo vya polisi katika eneo bunge la Tiati kaunti ya Baringo kama mojawapo ya hatua za kukabiliana na visa vya uhalifu eneo hilo.Mshirikishi wa […]
-
WAFANYIBISHARA BUNGOMA WALALAMIKIA KUTOPATA FEDHA ZILIZOTOLEWA NA NAIBU RAIS.
Na Benson AswaniViongozi wa wafanyibiashara katika soko la Chepkube mjini Bungoma wanadai maisha yao yamo hatarini baada ya wenzao kuwashuku kuwa huenda wanafahamu zilipo pesa ambazo naibu rais William Ruto […]
-
WAKAZI WA KABUCHAI WATAKIWA KUTUNZA MIRADI.
Na Benson AswaniWito umetolewa kwa wakazi wa Mukuyuni eneo bunge la Kabuchai kaunti ya Bungoma kutunza vyema miradi ya serikali ambayo inafadhiliwa kupitia ushuru wao ili kuondolea serikali gharama ya […]
-
WAKAZI POKOT MAGHARIBI WATAKIWA KUWA MAKINI NA VYAMA WANAVYOUNGA MKONO.
Na Benson AswaniBaadhi ya viongozi katika kaunti hii ya Pokot magharibi wameendelea kusisitiza haja ya wakazi wa kaunti hii kuunga mkono vyama vya kitaifa ambavyo vitahakikisha wanakuwa serikalini na pia […]
-
WANAHARAKATI POKOT MAGHARIBI WAPINGA MAFUNZO KWA WALIMU KUHUSU CORONA.
Na Benson AswaniShughuli ya kuwafunza baadhi ya walimu kutoka shule mbali mbali kuhusu jinsi ya kukabiliana na visa vya maambukizi ya corona shuleni iwapo vitaripotiwa, inayoongozwa na shirika la CY […]
Top News










