News
-
VIONGOZI POKOT WAHIMIZWA KUWAKUMBUKA AKINA MAMA WALIOGOMBEA VITI TOFAUTI NA KUKOSA KUFAULU KWA KUWAPA UONGOZI KWA SERKALI ZA KAUNTI
Na Benson Aswaniviongozi wa kisiasa wa jinsia ya kike katika kaunti hii ya pokot magharibi wamelalamikia kutelekezwa pakubwa wanasiasa wa kike wanaogombea nyadhifa za kisiasa na kisha kukosa kufaulu katika […]
-
VIONGOZI KAUNTI YA TRANSNZOIA WAMSUTA VIKALI KATIBU MKUU WA MUUNGANO WA VYAMA VYA WAFANYIKAZI NCHINI COTU
Na Benson AswaniBaadhi ya viongozi kutoka eneo la magharibi ya nchi wamemsuta vikali katibu mkuu wa muungano wa vyama vya wafanyikazi nchini cotu francis atwoli kwa madai ya kuwadhalilisha viongozi […]
-
WAKAAZI KAUNTI YA POKOT WAMEHIMIZWA KUTOWABAGUA WATOTO WENYE MIPASUKO KWENYE MIDOMO.
Na Benson AswaniJamii katika kaunti hii ya Pokot magharibi imetakiwa kukumbatia watoto wenye tatizo la mipasuko kwenye midomo yani Cleft Clip Palet na kutowatenga kwani ni hali inayoweza kurekebishwa.Akizungumza baada […]
-
SPIKA WA BUNGE LA KAUNTI YA POKOT AZUILIWA KUINGIA AFISINI MWAKE NA WAWAWKILISHI WADI WA BUNGE HILO LA POKOT
Na Benson AswaniKwa mara nyingine spika wa bunge la kaunti hii ya Pokot magharibi Catherine Mukenyang amezuiwa kuingia katika bunge hilo kuongoza vikao kufuatia hatua ya bunge hilo kumbandua afisini […]
-
SERKALI YAOMBWA KUINGILIA KATI NA KUTATUA MZOZO WA ARDHI UNAOSHUHUDIWA KANYARKWAT
Na Benson AswaniFamilia moja eneo la kanyarkwat mpakani pa kaunti hii ya Pokot magharibi na Trans nzoia wanalilia haki baada ya kufurushwa kwa boma lao na maafisa wa polisi wanaoaminika […]
-
WANAFUNZI WAHIMIZWA KUDUMISHA NIDHAMU WANAPOKUWA SHULENI
Na Benson AswaniWanafunzi wanapasa kupewa fursa ya kudhihirisha uwezo wao wa uongozi kupitia fursa mbali mbali za uongozi shuleni.Akizungumza wakati wa shughuli ya uchaguzi wa viongozi mbali mbali wa wanafunzi […]
-
IDARA YA UPELELEZI YAOMBWA KUCHUNGUZA MADAI YA UFISADI TRANSNZOIA
Na Benson AswaniBaadhi ya Wakongwe Trans nzoia wanalalamikia kutolewa kwa sajili ya kupata Fedha za wazee kwa dai la kuwa wameaga dunia wakidai kuwepo ufisadi katika afisi za utoaji wa […]
-
SERIKALI IMEOMBWA KUWEKA MIKAKATI YA KUKABILI UHABA WA CHAKULA
Na Benson AswaniPana haja ya serikali kuweka mikakati kukabiliana na uhaba wa chakula vijijini na hata shuleniNi wito ambao umetolewa na mwakilishi wadi ya bratabwa reuben chepsongol ambaye anakariri kwamba […]
-
VIONGOZI ENEOBUNGE LA KACHELIBA WAMEWAHIMIZA WAKAAZI KUKUMBATIA AMANI MSIMU HUU WA SIASA.
Na Benson AswaniWakazi wa eneo la Kacheliba katika kaunti hii ya Pokot magharibi wametakiwa kuishi kwa amani na utangamano na kutokubali kugawanywa kwa misingi ya kisiasa hasa wakati huu ambapo […]
-
WAKAAZI KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI WATAKIWA KUZINGATIA USAWA MIONGONI MWA WATOTO WA KIKE NA KIUME
Na Benson AswaniJamii katika kaunti hii ya Pokot magharibi imetakiwa kuzingatia usawa miongoni mwa watoto wa kiume na wale wa kike.Akizungumza katika hafla ya kuhamasisha umma dhidi ya dhuluma za […]
Top News










