MBUNGE WA TONGAREN ESELI SIMIYU AONYWA DHIDI YA KUINGILIA MASWALA YA CHAMA CHA FORD KENYA BAADA YA KUKIGURA

Na Benson Aswani
Uongozi wa chama cha Fordkenya umemweleza Mbunge wa Tongaren dkt Eseli Simiyu kukoma mara moja kuendesha shughuli za chama hicho baada ya majina ya Viongozi wa chama kuchapishwa kwenye Gazeti rasimi la Serkali na kusuluhisha mzozo uliokuapo rasimi
Wakati wa mkutano wa wawaniaji wa nyadhifa mbalimbali mtaani milimani katika kaunti ya transnzoia
Katibu mkuu wa chama dkt Chris wamalwa amesema kwamba sasa Fordkenya itajizatiti kuvitwa viti vya kisiasa vigi zaidi katika uchaguzi mkuu wa mwaka ujao
Kwa upande wake Wakili wa chama hicho Benson Milimo akielezea kuwa hakutakuwa na mapendeleo yeyote wakati wa kuwateua viongozi wa chama hicho.
Ikumbukwe juma lililopita mbunge wa Kanduyi katika kaunti ya bungoma Wafula Wamunyinyi ambaye amekuwa akiongoza kundi la Waasi aliahidi kutangaza mwelekeo mpya wa kisiasa katika muda wa wiki moja ijayo.