News
-
WADAU TRANS NZOIA WASHINIKIZA KUTAMBULIWA HAKI ZA WANAUME NCHINI.
Ipo haja ya kuwasilishwa kwa muswada na kubuniwa kwa sheria mpya bungeni itakayotoa nafasi ya kulindwa kwa haki za wanaume nchini, kutokana na kuwepo sheria zinazowalinda akina mama na watoto […]
-
ODM CHAPUUZILIA MBALI MADAI YA KUTOSIMAMISHA WAGOMBEA TRANS NZOIA.
Chama cha ODM kaunti ya Trans nzoia kimekishutumu chama cha DAP K kwa kueneza propaganda kwamba chama hicho hakitasimamisha wagombea viti mbali mbali kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka ujao.Wakiongozwa na […]
-
WAKAZI KERIO VALLEY WATAKIWA KUDUMISHA AMANI.
Jamii katika kaunti za bonde la kerio zimehimizwa kudumisha amani na kukoma visa vya wizi wa mifugo ili kutoa fursa ya kuendelezwa shughuli za maendeleo maeneo haya.Akizungumza katika shule ya […]
-
WASIWASI WAIBUKA KUHUSU USALAMA MPAKANI PA KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI NA UGANDA.
Viongozi katika kaunti jirani ya Uganda wameelezea wasiwasi kuhusu ongezeko la utovu wa usalama katika maeneo ya amudmat, Moroto pamoja na maeneo mengine yanayopakana na kaunti hii hali wanayosema huenda […]
-
WAKENYA WAHIMIZWA KUJITOKEZA KUPOKEA CHANJO DHIDI YA CORONA.
Viongozi wa kidini chini ya muungano wao wa Trans-Nzoia county inter-religious council of Kenya network wameendelea kuhimiza wakenya kujitokeza kwa wingi ili kupata chanjo dhidi ya covid19.Wakiongozwa na Mwenyekiti wa […]
-
VIJANA TRANS NZOIA WAHIMIZWA KUJIUNGA NA VYUO VYA KIUFUNDI.
Wanafunzi 132 kutoka vyuo vya anuwai vya Machungwa, Rafiki na Kitale wamefaidi msaada wa vifaa vya kiufundi kupitia ushirikiano wa wizara ya Elimu Kaunti ya Trans-Nzoia na shirika la Child […]
-
GAVANA LONYANGAPUO AKARI KUJITOLEA SERIKALI YAKE KUIMARISHA ELIMU POKOT MAGHARIBI.
Gavana wa kaunti hii ya Pokot magharibi John Lonyangapuo amekariri kauli yake kuwa serikali yake imejitolea kuhakikisha kuwa kila mkazi wa kaunti hii anapata elimu.Akizungumza wakati akizindua kontena za kufanyia […]
-
WANASIASA POKOT MAGHARIBI WATAKIWA KUSHIRIKIANA KUFANIKISHA MAENDELEO.
Aliyekuwa mwakilishi wadi maalum Lucy Lotee ameshutumu pakubwa malumbano ambayo yanashuhudiwa miongoni mwa wabunge katika kaunti hii kuhusiana na miradi mbali mbali ikiwemo ujenzi wa barabara.Akizungumza na kituo hiki bi […]
-
WAKULIMA TRANS NZOIA WAPUUZILIA MBALI BEI MPYA YA MAHINDI.
Baadhi ya viongozi wa kisiasa katika kaunti ya Trans nzoia wamepuuzili mbali bei mpya ya mahindi ambayo ilitangazwa na waziri wa kilimo Peter Munya wakisema kuwa ni ya chini mno […]
-
MAKUNDI YA KINA MAMA TRANS NZOIA YALALAMIKIA UGUMU WA KUPATA MIKOPO.
Makundi ya akina mama eneo la cherang’ani katika kaunti ya Trans nzoia yamelalamikia ugumu wa kupata mikopo hali wanayodai kuwa imesababishwa na kuwepo masharti mengi kabla ya kupata mikopo hiyo.Wakiongozwa […]
Top News










