News
-
SERIKALI YAOMBWA KUINGILIA KATI KWA HARAKA NA KUHAKIKISHA HALI YA USALAMA INAIRIMARISHWA ENEI LA CHESOGON KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI
NA BENSON ASWANIVisa vya utovu wa usalama eneo la chesogon mpakani pa kaunti hii ya Pokot magharibi na kaunti jirani ya Elgeyo Marakwet vimeendelea kuripotiwa.Hii ni baada ya wavamizi wanaoaminika […]
-
VISA VYA UKEKETAJI VIMEPUNGUA KWA ASILIMIA KUBWA KATIKA ENEO LA KACHELIBA KAUNTI HII YA POKOT MAGHARIBI
Na Benson AswaniShughuli ya kutoa uhamasisho kwa umma kuhusu athari za ukeketaji imepelekea kupungua pakubwa visa hivyo eneo lake Kapchok katika kaunti hii ya Pokot magharibi.Haya ni kulingana na chifu […]
-
MWANAMME MMOJA ENEO LA MACHEWA BONDENI KAUNTI YA TRANSNZOIA AMEMKATA MAMAKE KWA UPANGA NA KISHA KUUWAWA NA WAKAAZI WENYE HAMAKI.
NA BENSON ASWANIMwanamme mmoja mwenye Umri wa miaka Hamsini na Mitatu Mkaazi wa Bondeni Machewa katika kaunti ya Transnzoia amemuuwa Mamake mwenye umri wa miaka Sabini na sita kwa kumkata […]
-
WADAU KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI WAENDELEA KUPIGIA DEBE MFUMO MPYA WA CBC.
Na Benson AswaniBaadhi ya wadau katika sekta ya elimu kaunti hii ya Pokot magharibi wameendelea kupigia debe mfumo mpya wa elimu CBC wanaosema kuwa ni bora zaidi ikilinganishwa na mfumo […]
-
MBUNGE WA TONGAREN ESELI SIMIYU AONYWA DHIDI YA KUINGILIA MASWALA YA CHAMA CHA FORD KENYA BAADA YA KUKIGURA
Na Benson AswaniUongozi wa chama cha Fordkenya umemweleza Mbunge wa Tongaren dkt Eseli Simiyu kukoma mara moja kuendesha shughuli za chama hicho baada ya majina ya Viongozi wa chama kuchapishwa […]
-
SERIKALI YAOMBWA KUINGILIA KATI KWA HARAKA NA KUOKOA FAMILIA MOJA ENEO LA KAPTAMA MLIMA ELGON KAUNTI YA TRANSNZOIA
Na Benson AswaniZaidi ya Wakaazi Alfu mbili waliofurushwa kutoka katika shamba la serkali la Kapsang iliyoko mpakani mwa kaunti ya Transnzoia na wadi ya Kaptama eneobunge la mlima elgon wanatoa […]
-
WAKAAZI POKOT MAGHARIBI WATAKIWA KURIPOTI KISA CHOCHOTE CHA DHULUMA DHIDI YA MTOTO MSICHANA
Na Benson AswaniJamii eneo bunge la Kacheliba katika kaunti hii ya Pokot magharibi imeonywa dhidi ya kusalia kimya wakati wanaposhuhudia visa vya dhuluma dhidi ya mtoto wa kike badala yake […]
-
VIONGOZI POKOT WAHIMIZWA KUWAKUMBUKA AKINA MAMA WALIOGOMBEA VITI TOFAUTI NA KUKOSA KUFAULU KWA KUWAPA UONGOZI KWA SERKALI ZA KAUNTI
Na Benson Aswaniviongozi wa kisiasa wa jinsia ya kike katika kaunti hii ya pokot magharibi wamelalamikia kutelekezwa pakubwa wanasiasa wa kike wanaogombea nyadhifa za kisiasa na kisha kukosa kufaulu katika […]
-
VIONGOZI KAUNTI YA TRANSNZOIA WAMSUTA VIKALI KATIBU MKUU WA MUUNGANO WA VYAMA VYA WAFANYIKAZI NCHINI COTU
Na Benson AswaniBaadhi ya viongozi kutoka eneo la magharibi ya nchi wamemsuta vikali katibu mkuu wa muungano wa vyama vya wafanyikazi nchini cotu francis atwoli kwa madai ya kuwadhalilisha viongozi […]
-
WAKAAZI KAUNTI YA POKOT WAMEHIMIZWA KUTOWABAGUA WATOTO WENYE MIPASUKO KWENYE MIDOMO.
Na Benson AswaniJamii katika kaunti hii ya Pokot magharibi imetakiwa kukumbatia watoto wenye tatizo la mipasuko kwenye midomo yani Cleft Clip Palet na kutowatenga kwani ni hali inayoweza kurekebishwa.Akizungumza baada […]
Top News










