News
-
MWANAMKE ALIYEDAI KUFANYA HARUSI NA ‘ROHO MTAKATIFU’ AJIUZULU RASMI KAZI YAKE.
Elizabeth Nalem, mwanamke aliyejidai kufanya harusi na Roho Mtakatifu katika Kaunti ya Pokot Magharibi ameiacha kazi yake aliyokuwa akifanya katika kaunti na hata kufunga hoteli yake kwa madai ya kuitikia […]
-
VIJANA WATAKIWA KUJIUNGA KATIKA MAKUNDI NA KUSAJILI KAMPUNI ZAO TRANS NZOIA.
Wito umetolewa kwa vijana waliohitimu kwenye vyuo vya anuwai Kaunti ya Trans-Nzoia kujiunga katika makundi na kusajili Kampuni ili kufaidi asilimia 5% ya kandarasi kutoka kwa serikali.Akihutubu kwenye hafla ya […]
-
WAKAZI WA TRANS NZOIA WATAKIWA KUKUMBATIA BIASHARA YA PORI.
Wito umetolewa kwa wenyeji Kaunti ya Trans-Nzoia wanaomiliki mashamba makubwa Kukumbatia biashara ya ufungaji wa wanyama pori kama njia moja ya kujipatia mapato, badala ya kutegemea ukuzaji wa zao la […]
-
WAKAZI BARINGO WASHAURIWA KUTILIA MAANANI MASHARTI YA KUKABILI CORONA.
Wakazi kaunti ya Baringo wameshauriwa kuendelea kufuata masharti ya wizara ya afya ya kudhibiti maambukizi ya virusi vya Corona kwani ni jukumu la mtu binafsi kujilinda dhidi ya ugonjwa wa […]
-
JAMII YA TOROIS KAUNTI YA BARINGO YADAI KUTENGWA NA SERIKALI.
Viongozi kutoka jamii ya Torois katika kaunti ya Baringo wanadai kutengwa na serikali kuu pamoja na ile ya kaunti huku watu wa jamii hiyo wakiendelea kupitia matatizo mengi.Christine kandie ambaye […]
-
FORD KENYA CHAPATA PIGO HUKU DAP-K KIKIVUNA PAKUBWA TRANS NZOIA.
Chama cha Ford Kenya kimepata pigo baada ya waakilishi wadi kadhaa akiwemo David Kisaka wa Kiminini na Benard Mlipuko wa Kapomboi katika kaunti ya Trans nzoia kuhama chama hicho na […]
-
VITENGO VYA USALAMA VYATAKIWA KUWA MAKINI MIPAKANI PA POKOT MAGHARIBI.
Seneta wa kaunti hii ya Pokot magharibi Samwel Poghisio amewataka wadau katika sekta ya usalama kuwa makini na kudumisha usalama katika mipaka ya kaunti hii ya pokot magharibi na kaunti […]
-
SERIKALI YA POKOT MAGHARIBI YASHUTUMIWA KWA KUITELEKEZA HOSPITALI YA KAPENGURIA.
Serikali ya kaunti hii ya Pokot magharibi imeendelea kushutumiwa kwa kuitelekeza sekta ya afya hasa hospitali ya Kapenguria ambako kunatajwa kutolewa huduma duni za matibabu kufuatia ukosefu wa vifaa vya […]
-
WADAU WAHIMIZA KUREJESHWA KITENGO CHA NPR BONDE LA KERIO.
Kurejeshwa kwa kitengo cha polisi wa akiba NPR ndio suluhu ya kudumu kwa tatizo la utovu wa usalama kwenye eneo bunge la baringo kusini na vile vile kaunti ya baringo […]
-
JAMII TRANS NZOIA YAHIMIZWA KUTUNZA MISITU.
Zaidi ya washikadau 300 kutoka sekta ya utalii na mazingira wameshiriki matembezi ya kilomita 7 katika mbuga ya kitaifa ya Saiwa ili kuhamasisha kuhusu umuhimu wa kuhifadhi mazingira ili kuzuia […]
Top News










