News
-
WAFUASI WA ODM TRANS NZOIA WAHIMIZA AMANI KATIKA MKUTANO WA BUKHUNGU 2.
Wafuasi wa chama cha ODM Kaunti ya Trans Nzoia wamewarai vijana kutoka magharibi ya nchi kuhubiri amani katika Mkutano wa Bukhungu hii leo wakisema Francis Atwoli na Gavana wa Kakamega […]
-
VIJANA WAONYWA DHIDI YA KUJIHUSISHA NA DHULUMA ZA JINSIA TRANS NZOIA.
Jaji wa mahakama ya Rufaa mjini Kisumu Patrick Kiage amesikitikia idadi kubwa ya kesi za dhuluma za kimapenzi zinazoripotiwa kila siku katika nyingi ya mahakama za humu nchini ikihusisha vijana […]
-
WAKAZI POKOT MAGHARIBI WAHAKIKISHIWA USALAMA MIPAKANI.
Wakazi wa kaunti hii ya Pokot magharibi hasa katika mipaka ya kaunti hii na kaunti jirani ya Elgeyo marakwet ambako kumekuwa kukishuhudiwa utovu wa usalama wametakiwa kuendelea kudumisha amani msimu […]
-
MBUZI AINA YA GALA WAENDELEA KUTOLEWA KWA WAKULIMA POKOT MAGHARIBI.
Wafugaji katika kaunti hii ya Pokot magharibi wametakiwa kutunza vyema mifugo ambao wamepewa na gavana wa kaunti hii John Lonyangapuo ili kuimarisha kilimo chao cha ufugaji.Akizungumza baada ya kutolewa mbuzi […]
-
NCIC YATAKIWA KUFUATILIA MIENENDO YA WANASIASA TRANS NZOIA.
Tume ya kitaifa ya uwiano na utangamano wa kitaifa NCIC na idara ya upelelezi DCI zimetakiwa kufuatilia kwa karibu viongozi wa kisiasa ambao wanatoa semi za chuki katika mikutano mbali […]
-
ANC CHAPATA PIGO BUNGOMA MIKONONI MWA UDA.
Chama cha ANC chake Musalia Mudavadi kimepata pigo baada ya mwenyekiti wa chama hicho tawi la kaunti ya Bungoma Johnathan Baraza kugura chama hicho na kujiunga na chama cha UDA […]
-
‘JUKUMU LA KUJILINDA DHIDI YA CORONA NI LA MWANANCHI MWENYEWE’ ASEMA POGHISIO.
Seneta wa kaunti hii ya Pokot magharibi Samwel Poghisio ameendelea kusisitiza haja ya wakazi wa kaunti hii kuwa makini zaidi dhidi ya maambukizi ya virusi vya corona msimu huu ambapo […]
-
MWANAMKE ALIYEDAI KUFANYA HARUSI NA ‘ROHO MTAKATIFU’ AJIUZULU RASMI KAZI YAKE.
Elizabeth Nalem, mwanamke aliyejidai kufanya harusi na Roho Mtakatifu katika Kaunti ya Pokot Magharibi ameiacha kazi yake aliyokuwa akifanya katika kaunti na hata kufunga hoteli yake kwa madai ya kuitikia […]
-
VIJANA WATAKIWA KUJIUNGA KATIKA MAKUNDI NA KUSAJILI KAMPUNI ZAO TRANS NZOIA.
Wito umetolewa kwa vijana waliohitimu kwenye vyuo vya anuwai Kaunti ya Trans-Nzoia kujiunga katika makundi na kusajili Kampuni ili kufaidi asilimia 5% ya kandarasi kutoka kwa serikali.Akihutubu kwenye hafla ya […]
-
WAKAZI WA TRANS NZOIA WATAKIWA KUKUMBATIA BIASHARA YA PORI.
Wito umetolewa kwa wenyeji Kaunti ya Trans-Nzoia wanaomiliki mashamba makubwa Kukumbatia biashara ya ufungaji wa wanyama pori kama njia moja ya kujipatia mapato, badala ya kutegemea ukuzaji wa zao la […]
Top News










