News
-
HATUA YA KUONDOLEWA NEMBO ZA UDA CHEPARERIA YASHUTUMIWA VIKALI.
Viongozi wa chama cha UDA eneo bunge la Pokot kusini katika kaunti hii ya Pokot magharibi wameshutumu hatua ya kuondolewa nembo ya wilbaro ya chama hicho iliyokuwa imewekwa eneo la […]
-
SERIKALI YATANGAZA OPARESHENI YA KUTWAA SILAHA HARAMU KERIO VALLEY.
Serikali imetangaza kuanza oparesheni ya kutwaa silaha ambazo zinamilikiwa kinyume cha sheria katika kaunti za Elgeyo marakwet na Baringo kufuatia utovu wa usalama unaoshuhudiwa katika kaunti hizo.Oparesheni hii inafuiatia mauaji […]
-
VIONGOZI WATAKIWA KUWASAIDIA WANAFUNZI WENYE MATATIZO YA KARO BARINGO.
Katibu wa kitaifa wa idara ya elimu ya juu katika chama cha walimu wa shule za upili na vyuo vya kadri KUPPET Sammy Chelang’a ameirai jamii na viongozi kuwasadia wanafunzi […]
-
‘FARASI NI WAWILI AGOSTI 9,’ ASEMA MULIPUKO.
Kinyang’anyiro cha urais katika uchaguzi mkuu wa mwezi Agosti kitakuwa baina ya farasi wawili hivyo vigogo wa muungano wa one Kenya alliance OKA wanafaa kutafakari kuhusu misimamo yao.Haya ni kulingana […]
-
VIWANGO VYA MAAMBUKIZI YA CORONA VYARIPOTIWA KUPANDA POKOT MAGHARIBI.
Wakazi wa kaunti hii ya Pokot magharibi wametakiwa kuendelea kuzingatia kanuni za wizara ya afya kuzuia msambao wa virusi vya corona ili kusalia salama hasa msimu huu ambapo maambukizi yanaripotiwa […]
-
WAKUU WA SHULE WATETEA HATUA YA KUWAREJESHA NYUMBANI WANAFUNZI.
Baadhi ya wakuu wa shule katika kaunti hii ya Pokot magharibi wametetea hatua yao ya kuwatuma nyumbani wanafunzi kutafuta karo siku chache tu baada ya shule kufunguliwa kwa muhula wa […]
-
SERIKALI YATAKIWA KUIMARISHA USALAMA KATIKA BONDE LA KERIO.
NA BENSON ASWANIViongozi kutoka eneo bunge la Marakwet magharibi kaunti ya Elgeyo marakwet wameendelea kashifu uvamizi uliotekelezwa na wahalifu katika eneo la chepkum katika wadi ya arror ambapo watu watatu […]
-
FORD KENYA CHAPANGA KUWAFURUSHA WANACHAMA WAASI TRANS NZOIA.
Chama cha Ford Kenya katika kaunti ya Trans nzoia kimetangaza kuwatimua wanachama waasi waliochaguliwa kupitia chama hicho na nafasi zao kujazwa na viongozi waaminifu wakati kikijiandaa kwa ajili ya uchaguzi […]
-
TAHARUKI YAENDELEA KUTANDA CHESOGON MPAKANI PA POKOT MAGHARIBI NA ELGEYO MARAKWET.
Baadhi ya viongozi katika kaunti hii ya Pokot magharibi wameilaumu pakubwa serikali kwa kushindwa kudhibiti usalama katika eneo la Chesogon mpakani pa kaunti hii ya Pokot magharibi na kaunti jirani […]
-
CDF KACHELIBA YAPUUZA MADAI YA KUTOKUWA NA UWAZI KATIKA MATUMIZI YA FEDHA.
Meneja wa hazina ya CDF eneo bunge la Kacheliba kaunti hii ya Pokot magharibi Wilson Koringura amepuuzilia mbali madai ya kutokuwepo uwazi katika ugavi wa fedha hizo eneo bunge hilo.Akizungumza […]
Top News










