News
-
FORD KENYA CHAPANGA KUWAFURUSHA WANACHAMA WAASI TRANS NZOIA.
Chama cha Ford Kenya katika kaunti ya Trans nzoia kimetangaza kuwatimua wanachama waasi waliochaguliwa kupitia chama hicho na nafasi zao kujazwa na viongozi waaminifu wakati kikijiandaa kwa ajili ya uchaguzi […]
-
TAHARUKI YAENDELEA KUTANDA CHESOGON MPAKANI PA POKOT MAGHARIBI NA ELGEYO MARAKWET.
Baadhi ya viongozi katika kaunti hii ya Pokot magharibi wameilaumu pakubwa serikali kwa kushindwa kudhibiti usalama katika eneo la Chesogon mpakani pa kaunti hii ya Pokot magharibi na kaunti jirani […]
-
CDF KACHELIBA YAPUUZA MADAI YA KUTOKUWA NA UWAZI KATIKA MATUMIZI YA FEDHA.
Meneja wa hazina ya CDF eneo bunge la Kacheliba kaunti hii ya Pokot magharibi Wilson Koringura amepuuzilia mbali madai ya kutokuwepo uwazi katika ugavi wa fedha hizo eneo bunge hilo.Akizungumza […]
-
WANAHARAKATI WATAKA SHERIA DHIDI YA MIMBA ZA MAPEMA KUFANYIWA MAREKEBISHO.
NA BENSON ASWANIMmoja wa watetezi wa haki za watoto katika kaunti ya Baringo Nyambura Maing’una ameelezea haja ya kutathminiwa upya sheria inayotoa adhabu kwa mtoto mvulana anayempachika mimba msichana mwenye […]
-
MAGOHA ATAKIWA KUFUATILIA MAAGIZO ANAYOTOA KATIKA SEKTA YA ELIMU.
Viongozi wa kisiasa katika kaunti ya Trans nzoia wamemtaka waziri wa elimu Prof. George magoha kufuatilia maagizo anayotoa ili kuwaepushia wazazi mahangaiko ambayo wanapitia kulipa karo.Mwanasiasa Anthony Makan kutoka eneo […]
-
WAKAZI WA POKOT MAGHARIBI WATAKIWA KUTIA JUHUDI KATIKA SHUGHULI ZAO ZA KILA SIKU.
Wakazi wa kaunti hii ya Pokot magharibi wametakiwa kuendelea kutia juhudi katika shughuli zao mbali mbali mwaka huu licha ya changamoto ambazo wamekumbana nazo mwaka jana.Seneta wa kaunti hii Samwel […]
-
UONGOZI WA GAVANA LONYANGAPUO WAZIDI KUKOSOLEWA.
Uongozi wa gavana wa kaunti hii ya Pokot magharibi umeendelea kukosolewa na viongozi mbali mbali kutoka kaunti hii miezi michache tu kabla ya kukamilika muhula wake wa kwanza ambao amehudumu […]
-
WABUNGE WA FORD KENYA WAAPA KUPITISHA MSWADA WA MAREKEBISHO YA SHERIA ZA VYAMA.
NA BENSON ASWANIWabunge wanaoegemea chama cha Ford Kenya katika kaunti ya Trans nzoia wameapa kuhakikisha kuwa mswada wa marekebisho ya sheria za vyama unapitishwa vikao vya bunge kuendelea kujadili mswada […]
-
MALUMBANO YAENDELEA KATI YA NATEMBEYA NA CHRIS WAMALWA KUHUSU UONGOZI WA TRANS NZOIA.
Mshirikishi wa serikali eneo la Bonde la ufa George Natembeya amepuuza juhudi za mpinzani wake katika kinyang’anyiro cha kiti cha ugavana wa kaunti ya Trans nzoia kwenye uchaguzi mkuu wa […]
-
VIONGOZI KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI WAITAKA SERKALI YA KITAIFA KUWACHUKULIA HATUA WALIOHUSIKA NA MAUJI ENEO LA CHESOGON
Katibu katika wizara ya michezo, utamaduni na toradhi za kitaifa Simon Kachapin ameelezea kusikitishwa na utovu wa usalama ambao umeendelea kushuhudiwa mipakani pa kaunti hii ya Pokot magharibi na kaunti […]
Top News










