News
-
WAKAZI TRANS NZOIA WAHIMIZWA KUWANGAZIA SERA ZA WANASIASA WALA SI VYAMA.
Ikiwa imesalia takriban miezi sita kabla ya uchaguzi mkuu wa terehe 9 mwezi agosti, wakazi katika kaunti ya Trans nzoia wameshauriwa kuangazia sera za wawaniaji wa nyadhifa za uongozi na […]
-
POGHISIO AKASHIFU UVAMIZI UNAOSHUHUDIWA MIPAKANI PA POKOT MAGHARIBI NA TURKANA.
Seneta wa Kaunti ya Pokot Magharibi Samuel Poghisio ameukashifu visa vya uvamizi ambavyo vimeendelea kushuhudiwa katika Eneo la Kainuk mipakani pa Kaunti hii ya Pokot Magharibi na Turkana, akisema kwamba […]
-
SERIKALI YATAKIWA KUDHIBITI USALAMA MIPAKANI PA KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI NA ELGEYO MARAKWET.
Viongozi kutoka kaunti ya pokot magharibi sasa wanaitaka serkali kuingilia kati na kudhibiti hali ya usalama katika eneo la kaunti za baringo pokot na elgeyo marakwet ili kuhakikishia wakaazi wa […]
-
ODM CHAKANA KUWEPO MKATABA KATI YAKE NA KUP.
Mwenyekiti wa Chama Cha ODM katika Kaunti ya Pokot Magharibi Joseph Akaule ameweka bayana kwamba hakujakuwapo na maelewano baina ya Chama hicho na Chama Cha KUP chake gavana John Lonyangapuo.Wakihojiwa […]
-
WAZAZI WATAKIWA KUTEKELEZA JUKUMU LA KUDUMISHA NIDHAMU MIONGONI MWA WANAO.
Wito umetolewa kwa wazazi katika kaunti hii ya Pokot magaribi kushirikianba na walimu katika kuhakikisha nidhamu miongoni kwa wanafunzi.Naibu mwalimu mkuu wa shule ya upili ya Chepkono Jodina Wekesa amesema […]
-
VIONGOZI WA KISIASA BONDE LA KERIO WATAKIWA KUCHUNGA NDIMI ZAO.
Jamii za kaunti hii ya Pokot magharibi na kaunti jirani ya Elgeyo marakwet zimetakiwa kuishi kwa amani na kujitenga na visa vianvyosababisha utovu wa usalama hasa wakati huu ambapo taifa […]
-
RAIS ATAKIWA KUANGAZIA HALI TETE YA USALAMA ENEO LA KERIO VALLEY.
Baadhi ya viongozi kwenye kaunti ya elgeyo marakwet wamemshutumu rais uhuru kenyatta kwa kusalia kimya kuhusu swala la utovu wa usalama kwenye eneo la bonde la kerio ambalo limechangiwa na […]
-
WADAU WATAKIWA KUSHIRIKIANA KUHIFADHI VYANZO VYA MAJI TRANS NZOIA.
Ipo haja ya ushirikiano baina ya serikali, wananchi na washikadau katika sekta ya mazingira ili kuhifadhi Chemichemi na vyazo vya maji katika Kaunti ya Trans-Nzoia.Akihutubu kwenye maadhimisho ya siku ya […]
-
MATAMSHI YA MBUNGE WA EALA KUHUSU KUJIHAMI KWA BUNDUKI WAKAZI WA BARINGO YAIBUA HISIA KALI.
Wakazi katika kaunti hii ya Pokot magharibi wameendelea kuelezea gadhabu zao kufuatia video ambayo imeenea mitandaoni ikimwonyesha mbunge katika bunge la Afrika mashariki EALA Florence Jematia akipendekeza wakazi wa kaunti […]
-
SERA YA ASILIMIA 100 YA WANAFUNZI WANAOJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA YAPELEKEA CHANGAMOTO KATIKA SHULE ZA UPILI.
Sera ya serikali kuhakikisha asilimia 100 ya wanafunzi ambao wanajiunga na kidato cha kwanza imepelekea ongezo kubwa la wanafunzi katika shule za upili hali ambayo pia imekuja na changamoto mbali […]
Top News










