News
-
MAKASISI KAUNTI YA TRANSNZOIA WAOMBWA KUTOJIHUSISHA NA MASWALA YA SIASA NA BADALA YAKE KUWA MFANO MWEMA
Wito umetolewa kwa kanisa kuonyesha mfano mwema kwa kujiepusha na siasa za ukabila siasa za tofauti wa vyama vya kisiasa.Akihutubu kwenye Kanisa la ACK St Luke’s mjini Kitale Ole Ndiema […]
-
BAADHI YA VIONGOZI KAUNTI YA TRANSNZOIA WAMEWATAKA WENZAO KUKOMA KUKASHIFU UTENDAKAZI WA GAVANA ANAYEONDOKA PATRICK KHAEMBA
Wito umetolewa kwa wanasiasa wanaokosoa uongozi wa Gavana Patrick Khaemba katika mikutano zao za kisiasa badala ya kuuza sera zao kwa wananchi watakao wapigia kura.Wakiongozwa na Mwakilishi wadi ya Tuwani […]
-
MTIHANI WA DARASA LA NANE KCPE UMENGOA NANGA MAPEMA HII LEO KOTE KATIKA KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI
Hatimaye mitihani ya kitaifa kwa darasa la nane KCPE inaanza rasmi hii leo kote nchini.Mitihani hii inafanyika baada ya kuahirishwa kutokana na mabadiliko katika kalenda ya masomo ambayo ilitokana na […]
-
WAKAAZI WA ENEO LA MIPAKANI WATAKIWA KUDUMISHA AMANI
Wakazi wa maeneo ya mipakani pa kaunti hii ya Pokot magharibi na kaunti jirani ya Elgeyo Marakwet, Baringo na turkana wametakiwa kuzingatia amani hasa wakati huu ambapo taifa linaelekea katika […]
-
WAZAZI WATAKIWA KUWACHUNGA WATOTO WAO MSIMU HUU WA LIKIZO NDEFU WAKIWA NYUMBANI KWA ZAIDI YA MAJUMA SABA
Shule zikiwa zimefungwa rasmi kwa ajili ya likizo ya muhula wa tatu, wito umetolewa kwa wazazi na jamii kwa jumla kuwa makini na wanafunzi na kuhakikisha kuwa wanasalia salama ikizingatiwa […]
-
VIONGOZI KATIKA KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI WATAKIWA KUINUSURU HOSPITALI YA KAPENGURIA
Uongozi wa kaunti hii ya Pokot magharibi umeendelea kusutwa vikali kutokana na huduma duni katika hospitali ya Kapenguria uhaba wa vifaa muhimu ukitajwa kuwa chanzo cha masaibu ya wagonjwa.Changamoto za […]
-
WAKULIMA KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI WATAKIWA KUWA NA SUBIRA MAOMBI YAO YAKISHUGHULIKIWA.
Makundi ya wakulima katika kaunti hii ya pokot magharibi yaliyotuma maombi ya kunufaika na mradi wa climate smart yametakiwa kuwa na subra wakati maafisa katika mradi huo wakishughulikia maombi yao.Akizungumza […]
-
VIONGOZI KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI WASIKITISHWA NA HATUA YA KUFUNGWA KWA CHUO CHA KISII ENEO LA KERINGET POKOT
Aliyekuwa gavana wa kaunti hii ya Pokot magharibi Simon Kachapin ameelezea kusikitishwa na hatua ya kufungwa kwa chuo kikuu cha kisii bewa la Keringet katika kaunti hii.Akizungumza na kituo hiki […]
-
WALIMU NA WANAFUNZI KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI WAHAKIKISHIWA USALAMA WAO MSIMU HUU WA MITIHANI YA KITAIFA
Tatizo la usalama ambalo limekuwa likishuhudiwa katika mipaka ya kaunti hii ya Pokot magharibi na kaunti jirani za Baringo, Elgeyo marakwet na Turkana litapata tu suluhu kupitia elimu.Akizungumza wakati wa […]
-
VIONGOZI WAHIMIZWA KUINGILIA KATI NA KUHAKIKISHA UKOSEFU WA MADAWA KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI UNATATULIWA.
Wito umetolewa kwa idara ya afya kaunti hii ya Pokot magharibi kuhakikisha kuwa dawa za kutosha zinapatikana katika zahanati ya Otiot wadi ya Lomut ili kuwaepusha wakazi na changamoto ya […]
Top News










