News
-
MTIHANI WA KITAIFA KCSE KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI YANGOA NANGA VYEMA MAENEO YOTE NCHINI YA POKOT
Mtihani wa kitaifa kwa kidato cha nne KCSE unaanza rasmi hii leo kote nchini siku chache tu baada ya kukamilika ule wa darasa la nane KCPE.Hali ya usalama imeimarishwa katika […]
-
VIONGOZI WATAKIWA KUINGILIA KATI NA KUTATUA SUALA LA UTOVU WA USALAMA MIPAKANI.
Wakaazi wa kaunti ya pokot magharibi wanalalamikia wanachokitaja kama ulegevu wa viongozi wa taifa na wa kaunti zinazoathirika na ukosefu wa usalama katika kutafuta suluhu ya tatizo hilo katika bonde […]
-
VIONGOZI WAMETAKIWA KUINGILIA KATI NA KUTATUA SUALA LINALOWAKUMBA WENYEJI WA KOSIKE KULE LOROO UGANDA WANAHOFU YA KUNYAKULIWA MASHAMBA
Viongozi katika kijiji cha kosike kule LOROO , Uganda wamefanya mkutano uliopangwa na kikundi cha kanisa la katholiki almaarufu Catholic Land Desk kinachojulikana kwa kuhusika pakubwa katika kutatua maswala yanayohusu […]
-
VIONGOZI KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI WAMETAKIWA KUINGILIA KATI NA KUOKOA HALI YA HOSPITALI YA KAPENGURIA INAYO ANGAMIA
Hali ya Hospitali ya Rufaa ya Kapenguria inazidi kudorora huku wakazi wakiendelea kuhangaika kwa kutafuta dawa na matibabu kutoka kwenye hospitali za binafsi.Baada ya udadisi kutoka kwa kituo hiki cha […]
-
CHAMA CHA KANU KITAPATA UUNGWAJI MKUBWA KATIKA KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI NDIO KAULI YAKE NAIBU GAVANA DKT ATUDONYANG
Viongozi wa chama cha KANU katika kaunti hii ya Pokot magharibi wamesisitiza kuwa chama hicho kingali imara katika kaunti hii.Akizungumza katika kikao kilichoandaliwa kujadili mikakati ya kukiimarisha zaidi chama hicho, […]
-
SERIKALI YA KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI IMESHIRIKIANA NA KAMPUNI YA MKOPO YA APOLO ILIKUIMARISHA SHUGHULI YA KILIMO KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI
Wizara ya Kilimo ya kaunti hii ya Pokot Magharibi imetangaza rasmi ushirikiano na kampuni ya mkopo ya wakulima ya Apollo Agriculture ili kutatua shida za wakulima wa pokot magharibi hasa […]
-
WANAWAKE KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI WAMETAKA KUHUSISHWA KATIKA SHUGHULI ZOTE AMBAZO WANAUMME WANAFANYA
Wanawake kaunti ya pokot magharibi wanaomba kuhusishwa katika shughuli ambayo inaibuka katika kaunti ya pokot magharibi hii ni baada ya kuonekana kuwa wanawake wengi hawapewi nafasi ya kuongoza katika jamii […]
-
SERIKALI YA TRANSNZOIA WAMEOMBA KUKARABATI SOKO LA KITALE ILI KUWAWEZESHA AKINA MAMA KUENDELEZA SHUGHULI ZAO.
Wanawake wafanyibiashara katika kaunti ya transnzoia wameeleza haja ya uongozi wa kaunti hiyo kuwahusisha kikamilifu katika maswala ya uongoziWafanyibiashara hao akiwemo martha dulo na Dorothy chebeti wamegadhabishwa na jinsi serkali […]
-
WAKAAZI WA SABAOTI WAOMBWA KUJIUNGA NA MRENGO WA AZIMIO LA UMOJA ILIKUWA KATIKA SERIKALI IJAYO
Kiongozi wa kamati ya jamii ya sabaoti ambaye pia alikuwa naibu wa meya mji wa kitale pius arap kauka amepuzilia mbali mrengo wa Kenya kwanza ambao unaongozwa na naibu wa […]
-
WATAHINIWA WOTE KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI NA MIPAKANI PA KAUNTI YA ELGEYO MARAKWET NA TURKANA WAMEHAKIKISHIWA USALAMA WAO WANAPOUFANYA MTIHANI WAO
Mtihani wa kitaifa kwa darasa la nane [K.C.P.E] unaingia leo siku ya pili baada ya kuanza rasmi hiyo jana huku usalama ukiwa umeimarishwa maeneo mbali mbali ya kaunti hii ya […]
Top News










