News
-
MAJAMBAZI WAWAJEUHI MAAFISA WA POLISI NA MENEJA WA BENKI YA COOPERATIVE MJINI KIMILILI KAUNTI YA TRANSNZOIA NA KUTOWEKA NA MILIONI 25.
Maafisa wa polisi wawili ambao walikuwa wakisafirisha fedha za wakulima wa kahawa kutoka benki ya cooperative mjini Bungoma hadi chama cha ushirika cha Kimilili mjini, pamoja na meneja wa chama […]
-
SERIKALI YAOMBWA KUINGILIA KATI NA KUREJESHA NGUVU ZA UMEME ENEO LA CHEMELEI KAUNTI HII YA POKOT MAGHARIBI
Wakazi wa eneo la chemelei kaunti hii ya Pokot magharibi wamelalamikia ukosefu wa umeme eneo hilo hali wanayosema kuwa imewapelekea kukwama shughuli zao nyingi.Changamoto ya nguvu za umeme katika eneo […]
-
WALIMU WAKUU WAMEONYWA DHIDI YA KUJIHUSISHA NA MASWALA YA WIZI MITIHANI KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI
Maandalizi yote kwa ajili ya mitihani ya kitaifa mwaka huu kwa ajili ya wanafunzi wa darasa la nane KCPE na wale wa kidato cha nne KCSE ambayo inaanza mwezi huu […]
-
VIONGOZI MBALIMBALI KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI WANAZIDI KUMLAUMU RAIS UHURU KENYATA
Hatua ya rais Uhuru kenyatta kutangaza wazi kumuunga mkono kinara wa chama cha ODM Raila Odinga kuwania urais katika uchaguzi mkuu wa mwezi agosti imeendelea kuibua hisia miongoni mwa viongozi […]
-
USAFIRI ENEO LA CHEPKOKOGH ENEO BUNGE LA SIGOR UNAZIDI KUIMARISHWA NA SHIRIKA MOJA LISILOKUWA LA SERIKALI
Shirika moja liso la serikali la UNDP linaendeleza ujenzi wa miundo msingi ikiwemo barabara eneo la chepkokogh katika kaunti hii ya Pokot magharibi, baadhi ya watawala wa eneo hilo wakipongeza […]
-
SERIKALI YAOMBWA KUINGILIA KATI NA KUTATUA SUALA LA UKOSEFU WA USALAMA ENEO LA TUWAN KAUNTI YA TRANSNZOIA
Kufuatia kukithiri visa vya watu kubakwa na kushambuliwa kwa panga na wizi kutekelezwa katika mitaa ya mabanda ya Tuwan na Mitume kaunti ya Trans nzoia, kiranja wa wengi katika bunge […]
-
WAKAAZI WA ENEO LA AMUDAT WATAKIWA KUWA WATULIVU NA KUENDELEZA SHUGHULI ZAO ZA KAWAIDA
Wakazi wa jamii ya Pokot wanaoishi katika wilaya ya Amudat mpakani pa kaunti hii ya Pokot magharibi na taifa jirani la Uganda wametakiwa kuwa watulivu na kuendeleza shughuli zao za […]
-
UONGOZI WA GAVANA LONYANGAPUO WAKOSOLEWA NA ALIYEKUWA GAVANA WA KWANZA KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI
Uongozi wa gavana wa kaunti hii ya Pokot magharibi John Lonyangapuo umeendelea kutiwa kwenye mizani na wapinzani wake katika uchaguzi mkuu wa mwezi agosti mwaka huu.Aliyekuwa gavana wa kaunti hii […]
-
RAIS UHURU KENYATA AKASHIFIWA KWA KUINGILIA MAKANISA
Baadhi ya viongozi kutoka trans nzoia wamekashifu hatua ya raisi kuingilia inavyoendeshwa shughuli za kidini wakidai ni kinyume cha sheria.Wakirejelea matamshi ya hivi majuzi ya raisi,viongozi hao wakiongozwa na mbunge […]
-
MWANIAJI WA UBUNGE KAUNTI YA TRANSNZOIA AKIVUNJA KIMYA CHAKE
Mwaniaji wa ubunge kwenye eneo la kiminini kaunti ya Transnzoia Kakai Bisau ambaye alikuwa mshauri wa Teknolojia na miundo msingi katika ofisi ya Naibu wa rais wiliam ruto amekivunja kimya […]
Top News










