SERIKALI YA TRANSNZOIA WAMEOMBA KUKARABATI SOKO LA KITALE ILI KUWAWEZESHA AKINA MAMA KUENDELEZA SHUGHULI ZAO.


Wanawake wafanyibiashara katika kaunti ya transnzoia wameeleza haja ya uongozi wa kaunti hiyo kuwahusisha kikamilifu katika maswala ya uongozi
Wafanyibiashara hao akiwemo martha dulo na Dorothy chebeti wamegadhabishwa na jinsi serkali ya kaunti imekuwa ikibomoa vibanda vyao mara kwa mara bila ya kutoa notisi wala fidia.