News
-
MWANAFUNZI MMOJA ALIYEZOA ALAMA YA 303 KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI AKOSA KARO YA KUJIUNGA NA SHULE YA UPILI
Mtahiniwa mmoja aliyefanya mtihani wa darasa la nane KCPE mwaka 2021 katika kaunti hii ya Pokot magharibi ametoa wito kwa wahisani kujitokeza ili kumsaidia kufanikisha elimu yake ya shule ya […]
-
WAGOMBEA WA UDA KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI WALIOSHIRIKI MCHUJO WAMEPINGA MATOKEO HAYO
Baadhi ya wagombea wa chama cha UDA walioshiriki mchujo wa chama hicho katika kaunti hii ya Pokot magharibi wamedai zoezi hilo hali kuandaliwa kwa njia ya haki.Mwakilishi wadi yaMnagei anayeoondoka […]
-
WAGOMBEA VITI KWA CHAMA CHA DAP K WAMEKOSA AMANI NA MCHUJO ULIOKAMILIKA TRANSNZOIA KAUNTI
Wagombea viti vya ubunge katika chama cha DAP K wanazidi kutoa lalama zao kuhusu kutoandaliwa kwa kura ya mchujo kwa chama hicho licha ya kulipia ada ya zoezi hilo wakidai […]
-
MOROTO ADAI POLISI WANATUMIKA KUWAHANGAISHA WAKAZI KATIKA ARDHI YA CHEPCHOINA.
Mbunge wa Kapenguria Samwel Moroto ameendelea kukashifu kila amedai maafisa wa polisi kutumika kuwahangaisha wakazi kwenye ardhi yenye utata ya Chepchoina mpakani pa kaunti hii ya Pokot magharibi na kaunti […]
-
WAKAZI WA MASOL WALALAMIKIA UHABA WA MAJI NA MKALI YA NJAA.
Wakazi wa eneo la masol katika kaunti hii ya Pokot magharibi wamelalamikia uhaba mkubwa wa maji eneo hilo wakiomba serikali kuingilia kati kushughulikia hali hiyo.Wakazi hao wamesema kuwa wanalazimika kutembea […]
-
SERIKALI YATAKIWA KUWALINDA WAKAZI DHIDI YA ATHARI ZA MAFURIKO ILNG’ARUA BARINGO.
Wakazi wa eneo la ilng’arua katika kaunti ya baringo sasa wanaiomba serikali kuchukua hatua za mapema ili kuhakikisha hakuna maisha yanayopotea msimu huu wa mvua.Kauli yao inajiri baada ya watoto […]
-
MCHUJO WA UDA WAAHIRISHWA KATIKA WADI NNE POKO MAGHARIBI
Shughuli ya mchujo wa chama cha UDA kaunti hii ya Pokot magharibi unapoandaliwa leo huenda zoezi hilo likakosa kuandaliwa leo katika wadi za Endough na Riwo eneo bunge la Kapenguria […]
-
WAKAZI WA POKOT YA KATI WAPATA AFUENI KUFUATIA TATIZO LA MTANDAO.
Wakazi wa eneo la Masol katika kaunti hii ya Pokot magharibi wamenufaika pakubwa tangu kuzinduliwa mradi wa kusambaza mtandao wa universal Service fund.Mkuu wa wilaya eneo la pokot ya kati […]
-
SERIKALI YA TRANS NZOIA YASUTWA KUFUATIA HUDUMA DUNI KATIKA VITUO VYA AFYA.
Mwenyekiti wa wafanyakazi Kaunti ya Trans Nzoia Samuel Juma Kiboi amelalamikia ukosefu wa dawa na vifaa muhimu vya kutoa huduma za afya katika vituo vya afya Kaunti hiyo jambo ambalo […]
-
BENKI YA KCB YAANZISHA MCHAKATO WA KUWATAMBUA WANAFUNZI WATAKAOFADHILIWA.
Benki ya KCB tawi la Kapenguria kaunti hii ya Pokot magharibi imeanzisha mchakato wa kuwatambua wanafunzi werevu kutoka jamii masikini waliofanya mtihani wa kitaifa kwa darasa la nane KCPE na […]
Top News










