News
-
SERKALI KUU YAANZISHA MPANGO WA UJENZI WA CHUO CHA UTABIBU TRANSNZOIA ENEO LA CHERANGANYI
Serikali imeanzisha mpango wa ujenzi wa chuo cha mafunzo ya utabibu katika eneo la cherang’ani kaunti ya Trans nzoia ikiwa njia moja ya kuhakikisha kwamba huduma bora za afya zinafika […]
-
CHUO CHA KITALE CHA NATIONAL POLYTECHNIC KNP CHA TEUA RAIS MPYA MIONGONI MWA WANAFUNZI KAUNTI YA TRANSNZOIA
Dan Tanganyika ndiye Rais mpya wa chuo cha kitaifa cha Kitale national polytechnic (KNP) kufuatia uchaguzi ulioandaliwa katika chuo hicho. Kwenye mkao na wanahabari baada ya kuapishwa rasmi Tanganyika ameahidi […]
-
MAAFISA KATIKA IDARA YA USALAMA WALAUMIWA KWA KUINGILIA SIASA KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI
Mgombea ugavana katika kaunti hii ya Pokot magharibi kupitia chama cha UDA Simon Kachapin amewalaumu maafisa katika idara ya usalama nchini kufuatia kukithiri utovu wa usalama hasa katika eneo la […]
-
LONYANGAPUO AKOSOLEWA KUTOKANA NA CHANGUO LAKE LA MGOMBEA MWENZA.
Mgombea ugavana katika kaunti hii ya Pokot magharibi Simon Kachapin amemsuta gavana wa sasa John Lonyangapuo kwa kumchagua mgombea mwenza mwenye majina sawa na yake.Kachapin ambaye ni gavana wa kwanza […]
-
WAKAZI WA MUINO WALALAMIKIA HALI MBOVU YA MIUNDO MBINU.
Wakazi wa eneo la Muino katika kaunti hii ya Pokot magharibi wamelalamikia hali mbovu ya miundo mbinu eneo hilo.Wakiongozwa na Abraham Toiyareng, wakazi hao wamesema kuwa bararabara za eneo hilo […]
-
UONGOZI WA KHAEMBA WAKOSOLEWA TRANS NZOIA.
Viongozi mbali mbali hasa wanaoegemea chama cha DAP-K katika kaunti ya Trans nzoia wameendeleza shutuma zao kwa uongozi wa gavana Patrick Khaemba kutokana na kile wamedai kushindwa kuwajibikia maswala ambayo […]
-
WITO WA USALAMA WAENDELEA KUTOLEWA NA VIONGOZI WA BONDE LA KERIO.
Wito umetolewa kwa wakazi wa kaunti za bonde la Kerio kukumbatia amani na kutojihusisha na maswala ya uvamizi ambao umegharimu maisha ya wakazi wengi huku baadhi wakilazimika kuyakimbia makazi yao.Ni […]
-
SERIKALI YATAKIWA KUWAHAKIKISHIA WAKAZI WA BARINGO USALAMA.
Mwakilishi wa wadi ya Bartabwa katika eneo bunge la Baringo kaskazini kaunti ya Baringo Reuben Chepsongol ametoa wito kwa serikali kuwahakikishia usalama wao wakazi wa kaunti hiyo kutokana na uvamizi […]
-
WAGOMBEA NYADHIFA ZA KISIASA WAPONGEZWA KWA KUWATEUA WANAWAKE KUWA WAGOMBEA WENZA.
Hatua ya Viongozi mbali mbali kuwateua akina mama kuwa wagombea wenza nchini inazidi kupokelewa vyema na baadhi ya Viongozi katika Kaunti ya Trans-Nzoia.Mgombea wa kiti Cha ubunge eneo la Endebess […]
-
SERIKALI YAENDELEZA MCHAKATO WA KUTATUA MIZOZO YA ARDHI KACHELIBA.
Serikali inaendeleza shughuli ya kutatua mizozo inayohusu ardhi ambayo imekuwepo kwa muda sasa hasa kupitia kugawa baadhi ya vipande vya ardhi kwa wakazi katika eneo la Kacheliba kaunti hii ya […]
Top News










